MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Tena kama kuna Mchezaji aliye block Mipira mingi ya Viungo wa Horoya FC huku akiwasumbua na Kuziba Mashimo vyema na akitoa Pasi za uhakika, akijiamini na kupiga Chenga zilizoenda Shule ni Kiungo Mbukinabe Ishmael Sawadogo.
Kinachomgharimu kwa sasa japo taratibu kinaanza Kuondoka ni Uzito unaotokana na Match Fitness pamoja na Game Time kwani alikaa muda mrefu bila Kucheza Ligi / Michuano yoyote ile.
Tena nawaambieni mapema na huu Uzi wangu muutunze kama Ushahidi kuwa huyo Kiungo Fundi Mkabaji Halisi Ishmael Sawadogo akiizoea tu Ligi ya Tanzania huku akirudisha Kiwango chake atasumbua mno na ataimbwa sana na wana Simba SC mpaka na Watani zetu wana Yanga SC kwani anajua na Binafsi namkubali zaidi.