haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,572
- 3,863
Mitazamo mitatu
1. kama Nchimbi anamaanisha anachosema, maana yake haungi mkono mwenendo wa serikali ambayo na yeye yupo, na huenda ndio Yuda alietajwa kwa mtazamo wa wanaCCM washabiki wa kizimkazi: i. hapa Samia anaendelea chafuka na raia wanazidi kumchukia, ii. Nchimbi anasimamia prosperity ya taifa, wananchi wako sahihi kumuamini.
2. Kama Nchimbi ni mchezo wanacheza, kuwahadaa watanzania, bado samia anaendelea kuchafuka, nchimbi anawapigisha ngoma wananchi kwa karata ya 2030, wananchi wameonekana mazwazwa hawana agenda wanaruka tu na matukio yoyote yanayokuja mbele yao.
3. samia anaujua mchezo na yuko tayari kuchafuka mana hana cha kupoteza na huu ndio mhula wake wa mwisho, hapa samia kimoyoni ameshida mana anasema " I have nothing to lose, Your opinios does'nt count on me", ila bado kwa nje anaendelea kupoteza na kuchafuka, Nchimbi anafaidika na " I don't care" ya samia pamoja na "easy going" ya wananchi ambao ni wepesi kuaminishwa kitu. hapa wananchi ndio wanapoteza sana.
My Take:
Huzuni yangu ni kwa wale ambao siasa zimewaathiri moja kwa moja, wao na familia zao: walio uwawa na kutojulikana waliko, walio gerezani kwa kesi za kisiasa siasa, na hata walioumizwa kwa namna moja aama nyingine huku uraiani.
beauty with brain,