Anayenuka kinywa humwambii kapige mswaki mbele ya watu! Mnunulie bigjii

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Kuna watu tunawaheshimu sana. Labda ni boss wako, mwalimu wako, rafiki yako wa karibu, au hata mchumba wako. Unapenda kukaa naye, kusikiliza mawazo yake.

Lakini kuna changamoto moja ndogo...

Akiwa anakusemesha kwa karibu, unasikia harufu mbaya inatoka kinywani mwake. Ananuka kinywa!

Hapa ndipo hekima inahitajika.

Usimwambie moja kwa moja, "Unanuka kinywa, nenda kapige mswaki!
Maneno hayo yana nguvu ya kubomoa kabisa kujiamini kwa mtu. Unaweza ukamfanya ajiskie mdogo sana mbele yako, aone aibu, na hata akose confidence ya kuongea na watu wengine aliokuwa apite kuwaona baada yako. Utakuwa umemsaidia kwa kumumiza.

FANYA HIVI KWA HEKIMA

Tumia mbinu ya BIG G / BIGGII.

Mkiwa mnaongea, toa biggii mbili mfukoni kwa utulivu, alafu mpe moja huku wewe ukitafuna moja. Mwambie tu kwa kawaida kabisa:

"Samahani, naona mdomo wangu hauko vizuri, naomba nitafune biggii. Na hii yako, twende sawa."

Hautamuambia kwamba ananuka, lakini umempa msaada.

FAIDA MBILI ZA MBINU HII:

1. Unamlinda asijiskie mnyonge mbele yako.
Hatajua kuwa umegundua siri yake. Utaendelea kumheshimu kama kawaida na heshima yake kwako itabaki palepale.

2. Unamsaidia asiwanukie wengine.
Biggii ile itafunika harufu kwa muda, itamsaidia apate pumzi nzuri wakati wa kuongea na watu wengine. Labda baada ya hapo yeye mwenyewe atagundua tatizo na kulishughulikia.

Watu wengi hawananuka kinywa kwa makusudi. Sababu ni tumbo, kuto kunywa maji ya kutosha, kusahau kupiga mswaki usiku, au matatizo ya meno.

Kumsaidia mtu ni sanaa. Sio lazima umuudhi ili umsaidie.

Msaidie kimya kimya, heshima yake ibaki.

Ya leo ataelewa mmoja

Britanicca
 
Mama Muiaji ana nuka sana....
Hata ukimpa big G kinywa chake bado kinatoa uvundo wa damu za watu wasio na hatia

View: https://youtu.be/T9hWExXqbQU?si=LqLkktGEVVym3yrx
 
Kuna watu tunawaheshimu sana. Labda ni boss wako, mwalimu wako, rafiki yako wa karibu, au hata mchumba wako. Unapenda kukaa naye, kusikiliza mawazo yake.

Lakini kuna changamoto moja ndogo...

Akiwa anakusemesha kwa karibu, unasikia harufu mbaya inatoka kinywani mwake. Ananuka kinywa!

Hapa ndipo hekima inahitajika.

Usimwambie moja kwa moja, "Unanuka kinywa, nenda kapige mswaki!
Maneno hayo yana nguvu ya kubomoa kabisa kujiamini kwa mtu. Unaweza ukamfanya ajiskie mdogo sana mbele yako, aone aibu, na hata akose confidence ya kuongea na watu wengine aliokuwa apite kuwaona baada yako. Utakuwa umemsaidia kwa kumumiza.

FANYA HIVI KWA HEKIMA

Tumia mbinu ya BIG G / BIGGII.

Mkiwa mnaongea, toa biggii mbili mfukoni kwa utulivu, alafu mpe moja huku wewe ukitafuna moja. Mwambie tu kwa kawaida kabisa:

"Samahani, naona mdomo wangu hauko vizuri, naomba nitafune biggii. Na hii yako, twende sawa."

Hautamuambia kwamba ananuka, lakini umempa msaada.

FAIDA MBILI ZA MBINU HII:

1. Unamlinda asijiskie mnyonge mbele yako.
Hatajua kuwa umegundua siri yake. Utaendelea kumheshimu kama kawaida na heshima yake kwako itabaki palepale.

2. Unamsaidia asiwanukie wengine.
Biggii ile itafunika harufu kwa muda, itamsaidia apate pumzi nzuri wakati wa kuongea na watu wengine. Labda baada ya hapo yeye mwenyewe atagundua tatizo na kulishughulikia.

Watu wengi hawananuka kinywa kwa makusudi. Sababu ni tumbo, kuto kunywa maji ya kutosha, kusahau kupiga mswaki usiku, au matatizo ya meno.

Kumsaidia mtu ni sanaa. Sio lazima umuudhi ili umsaidie.

Msaidie kimya kimya, heshima yake ibaki.

Ya leo ataelewa mmoja

Britanicca
Somo limeeleweka, lakini kuna mambo hayo; mawili;

Nani ana nuka mdomo na anaongea na nani?
 
Nilitaka nikuambie mada hii iende Jukwaa la afya na chakula kule, lakini nimegundua kuwa you're just being too sarcastic in your presentation this time around...

It's a political sarcasm...

Sijui umemlenga nani huyu anayenuka mdomo. Lakini inaweza isiwe ngumu sana kutambua kuwa likely umewalenga baadhi ya wenzako huko huko CCM na ndani ya serikali yao haramu pamoja na kamanda mkuu wao...

Hawa jamaa wananuka midomo aisee na kumkera kila muungwana. Hawa don't deserve kuwapa hata hiyo BIG - JII yako, bali ni kuwaepuka na kukaa nao mbali kimya kimya...

Inashangaza mno kuwa hawagundui tu kuwa midomo yao inatoa harufu mbaya mithiri ya ile ya choo cha shimo kisicho na flashing system, vile vinavyotumia maji...

Bali ili ujisafishe (kwa wastaarabu), basi inabidi uewe na kipande cha jiwe au dongo au majani ya upupu kusafishia masalia ya kinyesi ktk kinyeo...
 
Unaweza ukadhani
1. Yanayoendelea kenya Kuhusu Mwaipaya na kulinganisha na Mahakama Zetu.

2. Ishu ya Lema na wasira
AU ishu ya Lema na Dokta Silaha.

3. Maovu ya Samia na Selikali yake.

4. Kesi ya Lissu na Ma Judge wetu.

Hii ya leo ni ngumu sana
 
Yaan huwa nikisoma threads zako huwa nasubiri codes kufunguliwa…kumbe ni kusoma na kuelewa tu….asante kwa ujumbe mkuu

Madhaifu yoyote ya mtu hupaswi kumchana direct…ati siridhiki unakibamia…aisee huyo mtu akija kudindisha utafute waganga wabobezi.Inakata stimu kabisa
 
Back
Top Bottom