Dah nimecheka sana 🤣Yaan huwa nikisoma threads zako huwa nasubiri codes kufunguliwa…kumbe ni kusoma na kuelewa tu….asante kwa ujumbe mkuu
Madhaifu yoyote ya mtu hupaswi kumchana direct…ati siridhiki unakibamia…aisee huyo mtu akija kudindisha utafute waganga wabobezi.Inakata stimu kabisa
🤣usithubutu aisee,eti unanuka mdomo 🤓Dah nimecheka sana 🤣
😂😂😂Lakini bigijii mbona haiindoi harufu ya mdomo…..
Sasa uwe unaongea na Mafwele au Muliro, na wananuka midomo, utawapenyezeaje Big G, kwa mfano?Mwashambwa unanuka mdomo piga mswaki 🪥
Kunywa maji ya kutosha 🚰
Nitanukaje mdomo wakati akili yangu haina mawazo machafu ?, Nakunywa lita 6 za maji daily, napiga mswaki asubuhi na usiku, nakula matunda daily nanasi, tikiti, ndizi, nanasi na cucumber?🤣usithubutu aisee,eti unanuka mdomo 🤓
Mafwele ana Muliro ata ukiwapa big G. Mindomo yao ndio itaendelea kunuka zaidiSasa uwe unaongea na Mafwele au Muliro, na wananuka midomo, utawapenyezeaje Big G, kwa mfano?
Nasema usithubutu kumwambia mwanamke unanuka mdomo kaka…huwa wanajisikia hawatoshiNitanukaje mdomo wakati akili yangu haina mawazo machafu ?, Nakunywa lita 6 za maji daily, napiga mswaki asubuhi na usiku, nakula matunda daily nanasi, tikiti, ndizi, nanasi na cucumber?
Bila kusahau nafanya jogging mara kwa mara ?
Kiboko ya harufu ya kinywa ni usafi wa kinywa. Siyo bigijii ya paketi ya bluu.Pk ya blue ni kiboko ya harufu mbaya ya kinywa
Luka Mwashambwa ananuka kikwapa pia.Mwashambwa unanuka mdomo piga mswaki 🪥
Kunywa maji ya kutosha 🚰
🤣aisee🙌🏾Luka Mwashambwa ananuka kikwapa pia.
Leo mbona umekuja na mada nyepesi hivi, sijawahi ona leo ndo kwa mara ya kwanza!Kuna watu tunawaheshimu sana. Labda ni boss wako, mwalimu wako, rafiki yako wa karibu, au hata mchumba wako. Unapenda kukaa naye, kusikiliza mawazo yake.
Lakini kuna changamoto moja ndogo...
Akiwa anakusemesha kwa karibu, unasikia harufu mbaya inatoka kinywani mwake. Ananuka kinywa!
Hapa ndipo hekima inahitajika.
Usimwambie moja kwa moja, "Unanuka kinywa, nenda kapige mswaki!
Maneno hayo yana nguvu ya kubomoa kabisa kujiamini kwa mtu. Unaweza ukamfanya ajiskie mdogo sana mbele yako, aone aibu, na hata akose confidence ya kuongea na watu wengine aliokuwa apite kuwaona baada yako. Utakuwa umemsaidia kwa kumumiza.
FANYA HIVI KWA HEKIMA
Tumia mbinu ya BIG G / BIGGII.
Mkiwa mnaongea, toa biggii mbili mfukoni kwa utulivu, alafu mpe moja huku wewe ukitafuna moja. Mwambie tu kwa kawaida kabisa:
"Samahani, naona mdomo wangu hauko vizuri, naomba nitafune biggii. Na hii yako, twende sawa."
Hautamuambia kwamba ananuka, lakini umempa msaada.
FAIDA MBILI ZA MBINU HII:
1. Unamlinda asijiskie mnyonge mbele yako.
Hatajua kuwa umegundua siri yake. Utaendelea kumheshimu kama kawaida na heshima yake kwako itabaki palepale.
2. Unamsaidia asiwanukie wengine.
Biggii ile itafunika harufu kwa muda, itamsaidia apate pumzi nzuri wakati wa kuongea na watu wengine. Labda baada ya hapo yeye mwenyewe atagundua tatizo na kulishughulikia.
Watu wengi hawananuka kinywa kwa makusudi. Sababu ni tumbo, kuto kunywa maji ya kutosha, kusahau kupiga mswaki usiku, au matatizo ya meno.
Kumsaidia mtu ni sanaa. Sio lazima umuudhi ili umsaidie.
Msaidie kimya kimya, heshima yake ibaki.
Ya leo ataelewa mmoja
Britanicca