britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Ukipewa usisahau kutoaManeno yao matamu ila Midomo yao inanuka
Pk ya blue ni kiboko ya harufu mbaya ya kinywaLakini bigijii mbona haiindoi harufu ya mdomo…..
Mama Muiaji ana nuka sana....Kuna watu tunawaheshimu sana. Labda ni boss wako, mwalimu wako, rafiki yako wa karibu, au hata mchumba wako. Unapenda kukaa naye, kusikiliza mawazo yake.
Lakini kuna changamoto moja ndogo...
Akiwa anakusemesha kwa karibu, unasikia harufu mbaya inatoka kinywani mwake. Ananuka kinywa!
Hapa ndipo hekima inahitajika.
Usimwambie moja kwa moja, "Unanuka kinywa, nenda kapige mswaki!
Maneno hayo yana nguvu ya kubomoa kabisa kujiamini kwa mtu. Unaweza ukamfanya ajiskie mdogo sana mbele yako, aone aibu, na hata akose confidence ya kuongea na watu wengine aliokuwa apite kuwaona baada yako. Utakuwa umemsaidia kwa kumumiza.
FANYA HIVI KWA HEKIMA
Tumia mbinu ya BIG G / BIGGII.
Mkiwa mnaongea, toa biggii mbili mfukoni kwa utulivu, alafu mpe moja huku wewe ukitafuna moja. Mwambie tu kwa kawaida kabisa:
"Samahani, naona mdomo wangu hauko vizuri, naomba nitafune biggii. Na hii yako, twende sawa."
Hautamuambia kwamba ananuka, lakini umempa msaada.
FAIDA MBILI ZA MBINU HII:
1. Unamlinda asijiskie mnyonge mbele yako.
Hatajua kuwa umegundua siri yake. Utaendelea kumheshimu kama kawaida na heshima yake kwako itabaki palepale.
2. Unamsaidia asiwanukie wengine.
Biggii ile itafunika harufu kwa muda, itamsaidia apate pumzi nzuri wakati wa kuongea na watu wengine. Labda baada ya hapo yeye mwenyewe atagundua tatizo na kulishughulikia.
Watu wengi hawananuka kinywa kwa makusudi. Sababu ni tumbo, kuto kunywa maji ya kutosha, kusahau kupiga mswaki usiku, au matatizo ya meno.
Kumsaidia mtu ni sanaa. Sio lazima umuudhi ili umsaidie.
Msaidie kimya kimya, heshima yake ibaki.
Ya leo ataelewa mmoja
Britanicca
Somo limeeleweka, lakini kuna mambo hayo; mawili;Kuna watu tunawaheshimu sana. Labda ni boss wako, mwalimu wako, rafiki yako wa karibu, au hata mchumba wako. Unapenda kukaa naye, kusikiliza mawazo yake.
Lakini kuna changamoto moja ndogo...
Akiwa anakusemesha kwa karibu, unasikia harufu mbaya inatoka kinywani mwake. Ananuka kinywa!
Hapa ndipo hekima inahitajika.
Usimwambie moja kwa moja, "Unanuka kinywa, nenda kapige mswaki!
Maneno hayo yana nguvu ya kubomoa kabisa kujiamini kwa mtu. Unaweza ukamfanya ajiskie mdogo sana mbele yako, aone aibu, na hata akose confidence ya kuongea na watu wengine aliokuwa apite kuwaona baada yako. Utakuwa umemsaidia kwa kumumiza.
FANYA HIVI KWA HEKIMA
Tumia mbinu ya BIG G / BIGGII.
Mkiwa mnaongea, toa biggii mbili mfukoni kwa utulivu, alafu mpe moja huku wewe ukitafuna moja. Mwambie tu kwa kawaida kabisa:
"Samahani, naona mdomo wangu hauko vizuri, naomba nitafune biggii. Na hii yako, twende sawa."
Hautamuambia kwamba ananuka, lakini umempa msaada.
FAIDA MBILI ZA MBINU HII:
1. Unamlinda asijiskie mnyonge mbele yako.
Hatajua kuwa umegundua siri yake. Utaendelea kumheshimu kama kawaida na heshima yake kwako itabaki palepale.
2. Unamsaidia asiwanukie wengine.
Biggii ile itafunika harufu kwa muda, itamsaidia apate pumzi nzuri wakati wa kuongea na watu wengine. Labda baada ya hapo yeye mwenyewe atagundua tatizo na kulishughulikia.
Watu wengi hawananuka kinywa kwa makusudi. Sababu ni tumbo, kuto kunywa maji ya kutosha, kusahau kupiga mswaki usiku, au matatizo ya meno.
Kumsaidia mtu ni sanaa. Sio lazima umuudhi ili umsaidie.
Msaidie kimya kimya, heshima yake ibaki.
Ya leo ataelewa mmoja
Britanicca
Nilitaka nikuambie mada hii iende Jukwaa la afya na chakula kule, lakini nimegundua kuwa you're just being too sarcastic in your presentation this time around...Kuna watu tunawaheshimu sana. Labda ni boss wako, mwalimu wako, rafiki yako wa karibu, au hata mchumba wako. Unapenda kukaa naye, kusikiliza mawazo yake.