Anayenuka kinywa humwambii kapige mswaki mbele ya watu! Mnunulie bigjii

Dah nimecheka sana 🤣
 
Kuna mtu atakuja atakwambia CODE ya Leo ngumuu.😃😃😃.
Oya Leo Sio siasa tupo hospital.
 
🤣usithubutu aisee,eti unanuka mdomo 🤓
Nitanukaje mdomo wakati akili yangu haina mawazo machafu ?, Nakunywa lita 6 za maji daily, napiga mswaki asubuhi na usiku, nakula matunda daily nanasi, tikiti, ndizi, nanasi na cucumber?

Bila kusahau nafanya jogging mara kwa mara ?
 
Nasema usithubutu kumwambia mwanamke unanuka mdomo kaka…huwa wanajisikia hawatoshi
 
Leo mbona umekuja na mada nyepesi hivi, sijawahi ona leo ndo kwa mara ya kwanza!
Ushatuzoeza zile, eeh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…