Ni kweli, na Pogba ni best midfielder ever, pia Martial ni mkali kushinda hata Thierry Henry. Na Lingard yuko level moja na Messi.Ngoja nikupe hii Ronaldo katika michuano ya UEFA, mechi zote alizocheza amekutana na timu 137 na izo timu kuzifunga jumla ya goli 117 ambapo hakuna team yoyote iliyofunga au iliyofikisha idadi ya hizo goli jamani huyu jamaa tuuache tu Mungu alimleta kwa kusudio fulani.
Ushabiki ni mbaya sana, hueleweki yaani hakuna timu yoyote iliyofunga hayo magoli? hapa unaongelea mchezaji kuwa amezizidi timu? ndo maana sikuwa Man United mm maana wameshindwa kufanya ya C. Ronaldo.Ngoja nikupe hii Ronaldo katika michuano ya UEFA, mechi zote alizocheza amekutana na timu 137 na izo timu kuzifunga jumla ya goli 117 ambapo hakuna team yoyote iliyofunga au iliyofikisha idadi ya hizo goli jamani huyu jamaa tuuache tu Mungu alimleta kwa kusudio fulani.