ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,251
Ngoja nikupe hii Ronaldo katika michuano ya UEFA, mechi zote alizocheza amekutana na timu 137 na izo timu kuzifunga jumla ya goli 117 ambapo hakuna team yoyote iliyofunga au iliyofikisha idadi ya hizo goli jamani huyu jamaa tuuache tu Mungu alimleta kwa kusudio fulani.