Anayepinga kuwa Ronaldo si mfalme wa soka kizazi cha sasa basi ajitathmini

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,251
Ngoja nikupe hii Ronaldo katika michuano ya UEFA, mechi zote alizocheza amekutana na timu 137 na izo timu kuzifunga jumla ya goli 117 ambapo hakuna team yoyote iliyofunga au iliyofikisha idadi ya hizo goli jamani huyu jamaa tuuache tu Mungu alimleta kwa kusudio fulani.
 
hakuna timu iliyo fikisha hiyo idadi ya magoli au niaje? sija kuelewa mkuu...
 
Ngoja nikupe hii Ronaldo katika michuano ya UEFA, mechi zote alizocheza amekutana na timu 137 na izo timu kuzifunga jumla ya goli 117 ambapo hakuna team yoyote iliyofunga au iliyofikisha idadi ya hizo goli jamani huyu jamaa tuuache tu Mungu alimleta kwa kusudio fulani.
Ni kweli, na Pogba ni best midfielder ever, pia Martial ni mkali kushinda hata Thierry Henry. Na Lingard yuko level moja na Messi.

I hope you're now happy manure united fan!
 
😀😀😀😀😀😀😀😀 Duh! Acha nipite tu,, maana sio ushabiki tena huo...
 
Ngoja nikupe hii Ronaldo katika michuano ya UEFA, mechi zote alizocheza amekutana na timu 137 na izo timu kuzifunga jumla ya goli 117 ambapo hakuna team yoyote iliyofunga au iliyofikisha idadi ya hizo goli jamani huyu jamaa tuuache tu Mungu alimleta kwa kusudio fulani.
Ushabiki ni mbaya sana, hueleweki yaani hakuna timu yoyote iliyofunga hayo magoli? hapa unaongelea mchezaji kuwa amezizidi timu? ndo maana sikuwa Man United mm maana wameshindwa kufanya ya C. Ronaldo.
 
Anaepinga kuwa Messi si mfalme wa soka kizazi cha sasa pia ajitathmini tena sana
 
Back
Top Bottom