permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Hii kauli yako inajikanganya, kama Jeshi la Ukraine lilishaisha, hao wanaopewa silaha ni akina nani?Dah wewe jamaa,mbona unajitoa ufahamu namna hii?
Au nyinyi wenzetu pro west mko tofauti kufikiria zaidi kuliko wengine?
Hivi unajua Ukraine ilishamalizwa kijeshi na Urusi miezi ya kwanza TU ya hii smo?
Sasa hivi Urusi inapambana na NATO pamoja na west wote kwa pamoja.
Kwa Nini hamtaki kukubali NATO ndio wanatoa aina zote za silaha,ushauri,mipango,mbinu na Kila aina ya misaada,bila kusahau msaada wa vikwazo kwa Urusi.
NATO wanakaa vikao Kila siku lkn weshindwa,mammluki toka Dunia nzima wako Ukraine lkn wapi.satelite zote za kijeshi za west angani zinaisaidia Ukraine lkn wapi.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app