Anayepinga ukuu wa Urusi Kwa Ukraine akapimwe utimamu wa akili yake

Anayepinga ukuu wa Urusi Kwa Ukraine akapimwe utimamu wa akili yake

Ngoja waje

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukropigs
IMG_20230821_195250.jpg
 
NATO imeingia lini vitani?
Kupewa msaada wa silaha kuna shida gani? Si ni sawa na ingenunua tu?
Kwani kanuni ya vita inataka nchi zipigane kwa silaha wanazotengeneza nchini mwao pekee?
Kupewa mipango hilo nalo siyo story, hata watu enzi za ujima walipeana mipango. Hata sasa wanajesha huenda kusoma nchi mbalimbali mambo ya millitary logistics na husaidiana pia.
Kwenye intelligence ndiyo kabisa, lazima ujue kutumia resources ulizo nazo, including marafiki n.k
Kwa kifupi sijaona kitu cha maana hata kimoja katika hivi ulivyoandika.
Kama Ukraine amewwza kusaidiwa au kupata vyote hivyo basi yupo vizuri sana kwenye implimentation...anasaidika.
Unauliza wanamgambo wa NATO wameingia lini vitani angalia hiyo picha alafu ukakate gogo
IMG_20230821_201902.jpg
 
NATO imeingia lini vitani?
Kupewa msaada wa silaha kuna shida gani? Si ni sawa na ingenunua tu?
Kwani kanuni ya vita inataka nchi zipigane kwa silaha wanazotengeneza nchini mwao pekee?
Kupewa mipango hilo nalo siyo story, hata watu enzi za ujima walipeana mipango. Hata sasa wanajesha huenda kusoma nchi mbalimbali mambo ya millitary logistics na husaidiana pia.
Kwenye intelligence ndiyo kabisa, lazima ujue kutumia resources ulizo nazo, including marafiki n.k
Kwa kifupi sijaona kitu cha maana hata kimoja katika hivi ulivyoandika.
Kama Ukraine amewwza kusaidiwa au kupata vyote hivyo basi yupo vizuri sana kwenye implimentation...anasaidika.
Isitoshe hata Russians wanasaidiwa. Iran imetoa drones, North Korea wanatoa makombora na wanajeshi,mchina anasaidia ukwepaji vikwazo nk. Kila mmoja anapata msaada flani
 
Kichwa maji huyu hapa, unaandika as if hauna ubongo huu sasa ni uboya!!!
T
Hii kauli yako inajikanganya, kama Jeshi la Ukraine lilishaisha, hao wanaopewa silaha ni akina nani?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mamluki and some NATO troops waliovalia sare za Ukrainian military - hiyo sio siri tena na Urusi inawapa kipigo cha mbwa mwizi pamoja na silaha za NATO uchwala kutuiwa kiberiti mchana kweupe Dunia ikishuhudia kwenye luninga na baada ya USA kushuhudia Lancent drones. zikishukia vifaru vya Uingereza na Ujerumani kama mweweu nat vikalipuliwa kirahisi, USA hana hamu tena ya kupeleka viyfaru vyake vya Abram vikitiwa kiberiti ataona aibu sana maana wanunuzi wa silaha za Merikani hawatakuwa na imani tena na majigambo ma Gringo, Dunia ilishaona kwamba kumbe silaha zao nyingi ni paper tigers tu ambavyo havi fuhi dafu mbele ya silaha za Urusi, Uchina, Iran, Korea ya Kusini nk - USA zamani sio siku hizi, na hii vita vya Ukraine ndio vimemtia aibu zaidi, no one takes them seriously any more hasa baada ya kushindwa vibaya katika the so called massive counter offensive ambayo majenerali wa USA na some NATO troops ndio walihusika sana na ku organise offensive nauratibu wake wote waka jiamini sana, lakini walipo fyekwa 2,400 na Urusi within 24 hours wakaona Mrusi ni mfupa uliyo shinda fisi - tatizo lao hawasomi historia za nyuma linapokuja suala la Urusi kulinda na kukubali kufa kwa mamillioni kuhakikisha taifa lao halikaliwi au kutawaliwa na wageni - nchi za magharibi mpaka sasa hilo hawajajifunza - but soon the west specifically Biden and tlike mind will learn their lesson the hard way - Russia is not for turning.
 
Isitoshe hata Russians wanasaidiwa. Iran imetoa drones, North Korea wanatoa makombora na wanajeshi,mchina anasaidia ukwepaji vikwazo nk. Kila mmoja anapata msaada flani
Kwa hiyo hivyo vikwazo Urusi kawekewa na Ukraine sio?
Maana navyojua Mimi vikwazo vya Urusi vimewekwa na west wote,yaani USA,Canada,EU,Japan Australia n.k.
Sasa hawa wamemuwekea vikwazo kama wao ni ukraine ama nani?
Na kwa Nini west wote wamuwekee vikwazo Urusi wakati Urusi anapigana naa ukraine?

Tafakari ndio utaona Ukuu wa Urusi.
China na Urusi wamekua waliofanya biashara siku zote.
Ama ulitaka na china nae amuwekee vikwazo Urusi?
 
Russia ukimuondolea Nukes hawezi kitu
Unaijua nchi ya kwanza kutumia silaha ya nyukilia hapa duniani?

Ilizitumia dhidi ya nani?

Na kwa sababu Gani ilizitumia?

Unajua nchi ya kwanza kutumia MOB mother of all bomb?
Ilizitumia dhidi ya nani ?
Na kwa sababu Gani ilizitumia.

Je Urusi imeshatumia nyukilia Ukraine?
 
Sasa hapo umezungumza kitu gani?yaani Urusi amzidi Ukraine kwa kitu?uchambuzi gani huo?
 
NATO imeingia lini vitani?
Kupewa msaada wa silaha kuna shida gani? Si ni sawa na ingenunua tu?
Kwani kanuni ya vita inataka nchi zipigane kwa silaha wanazotengeneza nchini mwao pekee?
Kupewa mipango hilo nalo siyo story, hata watu enzi za ujima walipeana mipango. Hata sasa wanajesha huenda kusoma nchi mbalimbali mambo ya millitary logistics na husaidiana pia.
Kwenye intelligence ndiyo kabisa, lazima ujue kutumia resources ulizo nazo, including marafiki n.k
Kwa kifupi sijaona kitu cha maana hata kimoja katika hivi ulivyoandika.
Kama Ukraine amewwza kusaidiwa au kupata vyote hivyo basi yupo vizuri sana kwenye implimentation...anasaidika.
Kaa ukijua kuwa kichapo kinaendelea na hakita ishia hapo Ukraine ilishakwisha kilichobaki ni uwanja wa vita unaotumiwa na West dhidi ya Urusi na Kwa taarifa Yako Urusi hajaanza kupigana Leo na hao west haya mambo yalianza zaman sana, Mwaka 1960 Dwight Eisenhower aliyekuwa Rais wa USA almanusura azabuliwe makofi na aliyekuwa Rais wa Urusi Nikita Khrushchev huko Paris ufaransa baada ya Urusi kumkamata ruban Francis Garry Powers aliyedunguliwa na Warusi huko Vladivostok akiwa na ndege ya kipelelezi U2 Spy plane, Urusi anapigana na ulaya pamoja marekani wanaôtumia ardhi ya Ukraine hata ukikataa uhalisia utabaki hivyo na hili siyo suala la imani ni uhalisia ktk Dunia tunayoishi
 
'Upo sahihi kabisa'.
I hope utafurahi sasa.
 
Dah wewe jamaa,mbona unajitoa ufahamu namna hii?
Au nyinyi wenzetu pro west mko tofauti kufikiria zaidi kuliko wengine?
Hivi unajua Ukraine ilishamalizwa kijeshi na Urusi miezi ya kwanza TU ya hii smo?
Sasa hivi Urusi inapambana na NATO pamoja na west wote kwa pamoja.
Kwa Nini hamtaki kukubali NATO ndio wanatoa aina zote za silaha,ushauri,mipango,mbinu na Kila aina ya misaada,bila kusahau msaada wa vikwazo kwa Urusi.
NATO wanakaa vikao Kila siku lkn weshindwa,mammluki toka Dunia nzima wako Ukraine lkn wapi.satelite zote za kijeshi za west angani zinaisaidia Ukraine lkn wapi.
Sasa kama Urusi inapambana na NATO, lile pigo la kihistoria tulilotishiwa mbona hatulioni?

Au wenzangu hilo pigo huko mmeliona?
 
Kwa mujibu wa Mathanzua lee van cliff NiggaPac TUJITEGEMEE Bukyanagandi 1954 Venus Star Upepo wa Pesa na Pro-Russia wengine ni kuwa......

Urusi imeivamia Ukraine kama jibu la nchi hiyo dhidi ya nchi za magharibi zilizokuwa zikijiandaa kutumia ardhi ya Ukraine kushambulia Urusi, hivyo Urusi imefanya pre-emptive strike (japo ushahidi wa hayo madai haupo)

Na pia jeshi la Ukraine lilikwisha sambaratishwa na Urusi kitambo sana ila kwa sasa NATO (nchi 30) ndio zinapambana na Urusi....(ushahidi wa hili pia haupo).
Tukubaliane na kauli yake ambayo ipo supported na ushahidi

Akiniambia Ukraine inapewa msaada wa silaha za vita na ndio sababu hii vita bado inaendelea, nitamkubalia.

Ila kuniambia Urusi inapigana na NATO ni kutuongopea kirahisi.
 
Hii hoja huwa inanichekesha sana.

Kama wanaopigana ni NATO wale wanaosema wanalazimishwa na Serikali ya Ukraine kujiunga na jeshi huwa ni watu Wa kutoka wapi??
Na kama wanaopigana ni NATO, je ile kauli ya kusema nchi yeyote itayojaribu kuingilia hii vita itapata pigo la kihistoria iko wapi?
 
Hivi kwenye Vita ya Kagera ni Urusi ndio aliotusaidia Silaha?
Sijui kama ni bure au lah, almost silaha zetu zote by that time zilikuwa ni Soviet made.

Wanajeshi wa Uganda wa zamani wanasema Saba saba rocket launcher ni kati ya vitu vilivyowakwamisha.
"Saba saba" rocket launcher ni BM katshuiya iliyotengenezwa na warusi.
 
Urusi aache kulia lia,akaze matako. Wakati anaanza maangamizi Ukraine alipaswa kujua kuwa west watampa misaada ya fedha na silaha. Kama hakujua atakua mpumbavu
 
Back
Top Bottom