Anayepinga ukuu wa Urusi Kwa Ukraine akapimwe utimamu wa akili yake

Hii kauli yako inajikanganya, kama Jeshi la Ukraine lilishaisha, hao wanaopewa silaha ni akina nani?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Wanajeshi wangapi wa NATO wameuwawa katika hiyo vita mpaka sasa hivi??
 


Pingana na General wako wewe mnato wa kibaigwa.
 
Kwahiyo ndio unajifanya kabisa huoni hizo dola bilioni karibu 100 za kimarekani magari ya kivita , ndege za kivita , na zana nyingine za kijeshi pamoja na mamluki wa NATO wanaomchangia urusi? Kweli mtu ukipenda kitu unakuwa kipofu pole sana.
 
Hivi mbona hamtumii akili?hawa ni baadhi ya wanajeshi wa NATO.
 
Ni mjinga tu asiyeona ukuu wa urusi.ukraine wameweza kupunguza kasi ya urusi kwa sababu ya msaada ya NATO.msaada wa vifaa na wanajeshi wanaojiita volunteers lakini wameshindwa kuitoa urusi Ukraine
 

Attachments

  • Screenshot_20230829-194828.png
    39.4 KB · Views: 2
... Kwa Nini hamtaki kukubali NATO ndio wanatoa aina zote za silaha,ushauri,mipango,mbinu na Kila aina ya misaada,bila kusahau msaada wa vikwazo kwa Urusi.
Ukiingiza timu vitani hutakiwi kumchagulia adui yako namna ya kupigana.
 
Ni mjinga tu asiyeamini Ukraine kuna wanajeshi wa NATO kila siku wanauawa kwa kupigwa kwenye mabankers na frontline.narudia ni mjinga tu na kuna evidence ya kupeleka maiti Ujerumani na Marekani.
Bora kuwa mjinga kuliko kuwa na akili za kuamini usemayo
 
Ni mjinga tu asiyeamini Ukraine kuna wanajeshi wa NATO kila siku wanauawa kwa kupigwa kwenye mabankers na frontline.narudia ni mjinga tu na kuna evidence ya kupeleka maiti Ujerumani na Marekani.
Hao sio askari wa NATO, ila ni raia wa kujitolea tu kutoka ulaya magharibi na Marekani walioamua kuitikia wito wa Zelensky kuja kutoa msaada kwa Ukraine.
 
Ukraine mpaka achakae..."itikia apigwe"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…