Anayepinga ukuu wa Urusi Kwa Ukraine akapimwe utimamu wa akili yake

Unauliza wanamgambo wa NATO wameingia lini vitani angalia hiyo picha alafu ukakate gogo
 
Isitoshe hata Russians wanasaidiwa. Iran imetoa drones, North Korea wanatoa makombora na wanajeshi,mchina anasaidia ukwepaji vikwazo nk. Kila mmoja anapata msaada flani
 
Kichwa maji huyu hapa, unaandika as if hauna ubongo huu sasa ni uboya!!!
T
Hii kauli yako inajikanganya, kama Jeshi la Ukraine lilishaisha, hao wanaopewa silaha ni akina nani?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mamluki and some NATO troops waliovalia sare za Ukrainian military - hiyo sio siri tena na Urusi inawapa kipigo cha mbwa mwizi pamoja na silaha za NATO uchwala kutuiwa kiberiti mchana kweupe Dunia ikishuhudia kwenye luninga na baada ya USA kushuhudia Lancent drones. zikishukia vifaru vya Uingereza na Ujerumani kama mweweu nat vikalipuliwa kirahisi, USA hana hamu tena ya kupeleka viyfaru vyake vya Abram vikitiwa kiberiti ataona aibu sana maana wanunuzi wa silaha za Merikani hawatakuwa na imani tena na majigambo ma Gringo, Dunia ilishaona kwamba kumbe silaha zao nyingi ni paper tigers tu ambavyo havi fuhi dafu mbele ya silaha za Urusi, Uchina, Iran, Korea ya Kusini nk - USA zamani sio siku hizi, na hii vita vya Ukraine ndio vimemtia aibu zaidi, no one takes them seriously any more hasa baada ya kushindwa vibaya katika the so called massive counter offensive ambayo majenerali wa USA na some NATO troops ndio walihusika sana na ku organise offensive nauratibu wake wote waka jiamini sana, lakini walipo fyekwa 2,400 na Urusi within 24 hours wakaona Mrusi ni mfupa uliyo shinda fisi - tatizo lao hawasomi historia za nyuma linapokuja suala la Urusi kulinda na kukubali kufa kwa mamillioni kuhakikisha taifa lao halikaliwi au kutawaliwa na wageni - nchi za magharibi mpaka sasa hilo hawajajifunza - but soon the west specifically Biden and tlike mind will learn their lesson the hard way - Russia is not for turning.
 
Isitoshe hata Russians wanasaidiwa. Iran imetoa drones, North Korea wanatoa makombora na wanajeshi,mchina anasaidia ukwepaji vikwazo nk. Kila mmoja anapata msaada flani
Kwa hiyo hivyo vikwazo Urusi kawekewa na Ukraine sio?
Maana navyojua Mimi vikwazo vya Urusi vimewekwa na west wote,yaani USA,Canada,EU,Japan Australia n.k.
Sasa hawa wamemuwekea vikwazo kama wao ni ukraine ama nani?
Na kwa Nini west wote wamuwekee vikwazo Urusi wakati Urusi anapigana naa ukraine?

Tafakari ndio utaona Ukuu wa Urusi.
China na Urusi wamekua waliofanya biashara siku zote.
Ama ulitaka na china nae amuwekee vikwazo Urusi?
 
Russia ukimuondolea Nukes hawezi kitu
Unaijua nchi ya kwanza kutumia silaha ya nyukilia hapa duniani?

Ilizitumia dhidi ya nani?

Na kwa sababu Gani ilizitumia?

Unajua nchi ya kwanza kutumia MOB mother of all bomb?
Ilizitumia dhidi ya nani ?
Na kwa sababu Gani ilizitumia.

Je Urusi imeshatumia nyukilia Ukraine?
 
Sasa hapo umezungumza kitu gani?yaani Urusi amzidi Ukraine kwa kitu?uchambuzi gani huo?
 
Kaa ukijua kuwa kichapo kinaendelea na hakita ishia hapo Ukraine ilishakwisha kilichobaki ni uwanja wa vita unaotumiwa na West dhidi ya Urusi na Kwa taarifa Yako Urusi hajaanza kupigana Leo na hao west haya mambo yalianza zaman sana, Mwaka 1960 Dwight Eisenhower aliyekuwa Rais wa USA almanusura azabuliwe makofi na aliyekuwa Rais wa Urusi Nikita Khrushchev huko Paris ufaransa baada ya Urusi kumkamata ruban Francis Garry Powers aliyedunguliwa na Warusi huko Vladivostok akiwa na ndege ya kipelelezi U2 Spy plane, Urusi anapigana na ulaya pamoja marekani wanaôtumia ardhi ya Ukraine hata ukikataa uhalisia utabaki hivyo na hili siyo suala la imani ni uhalisia ktk Dunia tunayoishi
 
'Upo sahihi kabisa'.
I hope utafurahi sasa.
 
Sasa kama Urusi inapambana na NATO, lile pigo la kihistoria tulilotishiwa mbona hatulioni?

Au wenzangu hilo pigo huko mmeliona?
 
Tukubaliane na kauli yake ambayo ipo supported na ushahidi

Akiniambia Ukraine inapewa msaada wa silaha za vita na ndio sababu hii vita bado inaendelea, nitamkubalia.

Ila kuniambia Urusi inapigana na NATO ni kutuongopea kirahisi.
 
Hii hoja huwa inanichekesha sana.

Kama wanaopigana ni NATO wale wanaosema wanalazimishwa na Serikali ya Ukraine kujiunga na jeshi huwa ni watu Wa kutoka wapi??
Na kama wanaopigana ni NATO, je ile kauli ya kusema nchi yeyote itayojaribu kuingilia hii vita itapata pigo la kihistoria iko wapi?
 
Hivi kwenye Vita ya Kagera ni Urusi ndio aliotusaidia Silaha?
Sijui kama ni bure au lah, almost silaha zetu zote by that time zilikuwa ni Soviet made.

Wanajeshi wa Uganda wa zamani wanasema Saba saba rocket launcher ni kati ya vitu vilivyowakwamisha.
"Saba saba" rocket launcher ni BM katshuiya iliyotengenezwa na warusi.
 
Urusi aache kulia lia,akaze matako. Wakati anaanza maangamizi Ukraine alipaswa kujua kuwa west watampa misaada ya fedha na silaha. Kama hakujua atakua mpumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…