TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

Bado na wewe unaendelea na Kilevi?
 
Labda niwe nimemaliza pesa yote ila akirefuse natafuta bar inayokesha naenda endeleza kilaji nikirudi asubuh nachukuwa funguo zote naenda zitoa copy
 
Huyo mwanamke atakua anafungulia wanamme wengine kwa Sasa. Aliyotaka yamekua.
 
Hapo changamoto.. ila wanaume wasiokunywa kabisa wapo.


Me zamani nilikuwa nakunywa kiasi, nikaja date mtu hanywi pombe kabisa.
Akanirudisha kwenye mstari, nikaacha na mpk leo sijawahi hata kumiss
Yaah pombe kwa watu wengi hunywa kwa kampani tu, akizungukwa na mwanywaji anakunywa wakisepa nae hanywi.
 
Ni bora kurudia asubuhi kuliko huu ujinga

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kama wanawake wameanza tabia za kugoma kufungua milango dawa ni kurudi asubuhi tu. Unune usinune shauri yako
 
Ndoa zina mambo mengi.


Kuna siku nilikuwa mwendo kasi la kutoka kariakoo kwenda kimara usiku saa 4. Likagongana na land cruiser pale fire mzinga wa maana tu. Halafu mimi nilikaa mbele mbele kabisa na jamaa wengine watatu. Wenzangu waliumia zaidi. Mimi sikujiona kama nimeumia sana nikashuka chap nikampigia wife kuwa nilikuwa kwenye daladala nimepata ajali. Akajibu AHAA POLE. Basi akalala zake.

Baadae kidogo ndio mtu akaniangalia akaniambia nimeumia jichoni, naona ile shock ya kuponea chupuchupu kufa ndio ilinipumbaza. Nikaenda hospitali wakanihudumia nikarudi home. Wife hakuuliza tena kuhusu hiyo ajali. Asubuhi nilivoamka nikagundua na mguu nao unauma, kumbe niliumia. Nikaenda hospitali tena bila kumwambia chochote.

Watu wengine wote niliwataarifu aisee walionyesha kujali sana. Wengine walikuja kunilna na wakawa wanauliza maendeleo yangu wiki nzima wanafuatilia.

Wife hakuwahi kuuliza tena mpaka baada ya mwezi ndio nikamtaarifu kuwa nimegundua mle ndani naishi na mtu sio kwa sababu ni mke wangu ila ni kwa sababu anapata huduma zangu. Ila hajali chochote kitakachonitokea. Si ajabu ananiombea nife kila siku ili ajinafasi. Nikamwambia toka siku hiyo nimemfuta akilini kwangu naishi nae tu kama mtu flani tu.

Kwa kifupi nilimfuta kwenye ratiba zangu. Baadae akaja kuomba msamaha eti tabia zangu ndio zilifanya asijali.
[emoji23][emoji23]
 
Dah very sad iasee Mungu ampe Rehema yake
 
Duh poleee sana
Kweli hakufanya sawa maana hata kama mmegombana ila unapoambiwa mwenzio anaumwa unasahau yoote unahudumia ugonjwa then mengine baadaye.

Huenda ulimkwaza sana huko nyuma hadi kupelekea moyo wake kusinyaa na kufa ganzi... (jitafakari). Maana sisi wanawake huwa ni wepesi kupenda na kuweka mtu moyoni ila pale moyo unapokufa ganzi asee hata ufanyeje.
 
Dah very sad iasee Mungu ampe reje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…