TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

Mrs Lissu naona umei dislike hii post yangu, utakuja kweli Mwakitolyo wewe, au ndiyo nimeshakitia kitumbua mchanga!
 
...Hafai...[emoji35]
 
Mungu apumzishe,Mimi ndio tabia yangu hiyo hadi leo,,nimepata funzo kubwa Sana ..huwa naruka geti nyumba ninayo ishi tunashare geti,ikifika SAA 3 linafungwa halifunguliwi hata ugonge usiku wrote..
 
Tukonaye manzese tunajaribu kukamilisha Uzi wa rikiboy
 
JKK anakuona ujue.
 
Dah almost umenitoa machozi , haka kabinti kangu nakaombea kawe kama wewe .

Itikia Amen kwa afya ya furaha yangu
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Hebu niache kwanza Kadori ,niombee haka kabinti kanipende sana maana bila yeye uzee wangu utakuwa wa tabu sana
We ungesema tu kasiwe kama nakadori...
Katakupenda tu ila ukitaka kakupende anza wewe kukaonesha upendo kuanzia sasa kauone then kakiwa kakubwa katarudisha upendo kwako
 
We ungesema tu kasiwe kama nakadori...
Katakupenda tu ila ukitaka kakupende anza wewe kukaonesha upendo kuanzia sasa kauone then kakiwa kakubwa katarudisha upendo kwako
Tunapendana sana Sasa hivi ,hofu yangu kasijebadilika huko mbeleni πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ingekua Mke amwgomewa Kufunguliwa mlango hapa ingekua story kwamba Jamaa katiri angefungua wayamalize...Sasa Umeolewa unagoma Kumfungulia mlango mwenye nyumba...Mwenye nyumba hachelewi kurudi nyumbani hata siku moja...
 
Tunapendana sana Sasa hivi ,hofu yangu kasijebadilika huko mbeleni πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hawezi
Mtoto ukimuonesha upendo toka mtoto akiwa mchanga hawezi kukusahau kamwe...anaona the sacrifice u make and the like
 
Ingekua Mke amwgomewa Kufunguliwa mlango hapa ingekua story kwamba Jamaa katiri angefungua wayamalize...Sasa Umeolewa unagoma Kumfungulia mlango mwenye nyumba...Mwenye nyumba hachelewi kurudi nyumbani hata siku moja...
Kama mwenye nyumba ni uyo mwanamke jee?
 
Hii issuu ya kudandia Kuta zimecost life za watu wengi hasa ukiwa umetumia ulabu....
 
Hii issuu ya kudandia Kuta zimecost life za watu wengi hasa ukiwa umetumia ulabu....
Yani kama ukilewa ukirudi kwako lazima uruke ukutaa achana na pombe tuu maana nyumba yako tu imekushinda kuicontrol...!! Mwanamke anapaswa kumfungulia mumewe mlango muda wowote...saa yoyotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…