Anayesema Lissu ni msaliti aende akafungwe yeye badala yake

Anayesema Lissu ni msaliti aende akafungwe yeye badala yake

PERAMIHO YETU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
6,288
Reaction score
17,333
Napita mitandaoni nasikia wanasema kamanda n msaliti sasa kama n msaliti wala haina shida Basi aende yeye AKAFUNGWE had hapo haki itakapo patikana

Hiv LISU harakat hz ameanza Leo mmesahau Zile risasi alizopigwa akiipigania nchi Leo hamuoni haya

Mtu yupo kwake familia yake inafuraha anataka familia ya mwenzake iteseke
 
Back
Top Bottom