Napita mitandaoni nasikia wanasema kamanda n msaliti sasa kama n msaliti wala haina shida Basi aende yeye AKAFUNGWE had hapo haki itakapo patikana
Hiv LISU harakat hz ameanza Leo mmesahau Zile risasi alizopigwa akiipigania nchi Leo hamuoni haya
Mtu yupo kwake familia yake inafuraha anataka familia ya mwenzake iteseke