Anayeshtakiwa kumuua Mkewe adai haogopi Kunyongwa

Anasema tako kichwa na mbunye vilichelewa kidogo kuungua
Alikua anavigeuza geuza😂

Nacheka kama mazuri ila inahuzunishaa
 
Duh this guy need a tunnel with a chimney made with refractory bricks burning him 1 month
 
Dah ina sikitisha ila tutambue huwezi kuhalalisha kosa juu ya kosa

Mtuhumiwa alifanya kosa aadhibiwe full stop
 
Pili kichwa Cha mkewe kiliwai sana kuungua maana alikuwa anakigeuza. Tatu amedai Tako lilikuwa na mafuta mengi. Nne sehemu za Siri za Naomi zlikuwa na mafuta. Tano matiti pia yalikuwa na mafuta.

Sehemu zote zilizokuwa na mafuta zilichelewa kuungua ila zilisaidia moto kukolea.
 
Naomi aliwai mvuta mmewe sehemu Siri Tena Kwa nguvu mbele ya mama yake na mwanaume.

Naomi aliwai mpiga mmewe na ndoo ya chooni.
 
Aisee🤔
 
Grand finale ....

Pumzika kwa amani Naomi..

Pole sana ndugu Khamis, Endelea kujipambania ... May be, may be not.

Ila ndoa na mali ni vitu hatari sana..

Sometimes life is about destiny.... Bad to some, good to some...

We are al destined to something..
 
Sasa kila mtu na hamsini zake kushikiana simu tena kumekujaje? Hapo km haijakaa sawa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…