Anayeshtakiwa kumuua Mkewe adai haogopi Kunyongwa

Watu wanapenda ile kaolewa na pete zile kibongo bongo wanaona deal. Hata kama ndani hakukaliki. Mapenzi ni furaha, mkianza kick boxing kila mtu aende njia yake. Kusiwe na kisingizio cha watoto wala mali lah gunia zinakuhusu...
Kila siku nasema ndoa ikishaingia dosari na juhudi za utatuzi zikishindikana, kila mtu ashike ustaarabu wake, hakuna unafiki wa kusema tuishi hivi hivi kisa eti sijui nn, mwsho watu kuuana. Lol.

Kwan ulizaliwa nae huyo? Si mlikutana kila mtu ana meno 32 yotee, khaaah
 
Natabiri Huyu atanyingwa mpaka mpaka kufa. Tena anabahati sana Tz kwa muda hawanyongi ila tendo amelifanya nilakinyama kiasi dam ya mke wake ilimtesa mpaka akaamua kujisema mwenyewe. Kuuwa pasipo kukusudia kuna jinsi ya ku detect siwezi andika hapa kwa sababu za kiusalama. Ila huyu hata jela yake itakuwa ngumu sana.
 
Watoto mliolelewa kimama mnashida sana, mnapenda sana kuhitimisha kila kitu eti mama ndo the best,mimi kwangu mama sio kitu kabisa Bali mzee wangu.

Next time usipende kuhitimisha kwa kutumi hisia zako
 
Watoto mliolelewa kimama mnashida sana, mnapenda sana kuhitimisha kila kitu eti mama ndo the best,mimi kwangu mama sio kitu kabisa Bali mzee wangu.

Next time usipende kuhitimisha kwa kutumi hisia zako
duuh mama sio kitu?? itakuwa mama wa kambo huyooo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kuna aina nyingi za msaada iwe tiba,au kisaikolojia au hata inayohusiana na uraibu n.k
Afu wengi ni waongo au umri bado, wanao fanya kweli ni wachache... we eti ntazalisha ila sioi akiwa mtu mzima ataoa uyo ayupo serious na u singular
 
Kitendo cha kua tayari kwa hukumu yeyote hata kunyongwa hadi kufa,kinaashiria kua mtuhumiwa amekubali kosa lake,na anaona kabisa kua ni haki kuhukumiwa kwa alichokifanya,

Sometimes majuto huja baada ya kitendo but hua ni too little too late.
Hapana mtuhumiwa kuwa tayari kwa lolote sio kwamba kakubali kufanya hilo jambo,kuna kijana mmoja kijiji cha jirani aliwahi kupewa kesi ya mauaji ya mganga fulani wa kienyeji alisota mahabusu kama miaka 4 naye akawa anasema yuko radhi afungwe tu amechoka usumbufu na kweli baadae akapigwa mvua ila Mungu wa ajabu baadae ukweli ulikuja kujulikana alieua na yule anaetuhumiwa siku ile ya mauaji hakuwepo kijijini bali aliangushiwa zigo la mavi
 
Sio kama akili yake haipo mchezoni bali ameshachoshwa na prolonged process ya case wakati ameshakiri wazi kuwa ameua kwa kusudia. Anachotaka Ni hukumu ya haki yaani hata kama atanyongwa basi ijulikane ananyongwa kwa mauaji ya kutokukusudia.
Sasa analazimisha?
Ajue kila kosa lina chembe chembe zake.Kakusudia ndo maana aliplan kuficha
 
Mimi kwangu mzee nampenda sana kuliko mama
aaha kumbe unampenda zaidi mzee nikajua bi mkubwa sio kitu hata akifa leo hutashtuka yani πŸ˜€ πŸ˜€ kwamba hata asipokuwepo kwenye maisha yako fresh tu. Anyway kiufupi hata wababa tunajua watoto wanapenda sana mama zao asilimi 98 ipo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…