Pana mtumishi mmoja wa Mungu akiwa mganga zamani alitoa ushuhuda jinsi kwanini wanandoa wanauwana,
Kama wanamuhitaji mmoja wao Huwa wanatuma mapepo mawili moja kwa mme mwingine kwa mke then kinatafutwa chanzo Cha maudhi kupitia kauli mnaanza kujibizana majibizano upambano moto kwa msaada wa Yale majini mawili yatapelekea mtavurugana haswa mtaanza kupigana ugomvi huo ndio upelekea kifo Cha mlengwa either kwa hasira utamshuti risasi,kumchoma kisu,kumbamiza kichwa,kuangukia kwenye meza ya kioo nk then utabeba hospital ndio kwa heri hio then Yale majini mawili yanaondoka ndipo ufahamu wako unarudi unaanza kuhisi hatia maswali kibao kwann nilikosa uvumilivu.
Watu wajifunze sana somo la emotional intelligence yaani jinsi ya kuikabili migogoro ya ndoa.
Inisaidia usiingie jela kisa mapenzi