Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Bora kama ulimwelewa,, ni kweli ndoa sio ya kila mmoja 🤗kuna mtu humu jf alishasema kwenye koment fulani kwamba maswala ya ndoa siyo ya kila mtu .Sikumwelewa kwa haraka anamaanisha nini. Sasa nimejifunza