raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Mbona nafanya hivyo mara kibao tu 😀Aisee leo jamaa yangu umecomment,hatar sana [emoji2][emoji2][emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nafanya hivyo mara kibao tu 😀Aisee leo jamaa yangu umecomment,hatar sana [emoji2][emoji2][emoji2]
Mwanamke akisha aanza ligi na Mumewe,ujuwe huyo Kesha kata kamba, tayari ana Jamaa mwingine nje ndiyo anamsikiliza, na huyo Jamaa yake akipendekeza Mume uwawe,Basi Mkeo lazima afanye juu chini hadi ufe!!Hii ndoa inaonekana ilikuwa na ugomvi wa siku nyingi na unaojirudia-rudia. Pengine huyo mwanamke alikuwa ni aina ya wale ambao hawakubali kushindwa na muda wote wanataka kuonyeshana umwamba na mumewe. Ndoa ikishafikia stage hii suluhisho ni kuachana haraka sana kwani mking'ang'ania kuendelea kuishi pamoja lolote linaweza kutokea, i.e. mnaweza kuumizana kwa bahati mbaya au hata kuuana kwa hasira. Wanawaume wenzangu, mimi naamini sana kwenye usawa wa jinsia, lakini hima hima, ukiona mke wako anapenda kufanya ligi na wewe muda wote basi kimbia haraka sana.
Mwanamke anayekupenda kamwe hafanyi Ligi na weweHii ndoa inaonekana ilikuwa na ugomvi wa siku nyingi na unaojirudia-rudia. Pengine huyo mwanamke alikuwa ni aina ya wale ambao hawakubali kushindwa na muda wote wanataka kuonyeshana umwamba na mumewe. Ndoa ikishafikia stage hii suluhisho ni kuachana haraka sana kwani mking'ang'ania kuendelea kuishi pamoja lolote linaweza kutokea, i.e. mnaweza kuumizana kwa bahati mbaya au hata kuuana kwa hasira. Wanawaume wenzangu, mimi naamini sana kwenye usawa wa jinsia, lakini hima hima, ukiona mke wako anapenda kufanya ligi na wewe muda wote basi kimbia haraka sana.
Yeah huyu alifaa apewe daktari wa magonjwa ya akili amtathmini.Wanaweza mfunga bure kumbe alichizika wakati anatenda hilo kosa au gerezani anaweza leta zahama nyingineNa kuna siku pia aliaagiza aletewe kadi zake za bank gerezani ili alipe school fees za wanawe!! Kweli dish linaweza kua limeyumba!!
Ligi huwa inaanza baada penzi kufa na kuna fala kapendwa huko Nje!!Mwanamke anayekupenda kamwe hafanyi Ligi na wewe
😆😆😆😆Ligi huwa inaanza baada penzi kufa na kuna fala kapendwa huko Nje!!
NYIE WOTE HAMNISHINDI MIMI KUKAZIANAKAZIA KULIKO WEWE
Na tena huko koote wanasema kulikuwa na mafutaDuuuuu am speechless hasa hapo kwenye kuungua kichwa, matako, matiti na sehemu za siri. Kwa hiyo muda wote alikuwa anakula harufu ya nyama ya mkewe. Oooooh my God.
Ha ha ha ha ha yani ni kunyamaza tu maana ni hatari na nusuNa tena huko koote wanasema kulikuwa na mafuta
Nasimama na mwamba.
Watu wa dini ukiwasikiliza wanakuambia wengi tunaoa watu sio sahihi kwa sababu hatumshirikishi Mungu kwenye maombi ya kupata wenza sahihi.
Lakini cha ajabu nina watu nawajua wachamungu kwelikweli lakini wake zao pasua kichwa. Ila sababu jamaa watu wa Mungu wanavumilia kero za wake zao.
Nikiwaza haya naafikiana na madogo wakataa ndoa. Ndoa ni mtego wa kasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahHuyu jamaa ni vema wangempeleka kwanza isanga pale akatathminiwe kama dishi liko sawa. Namwona kama kesi ya milembe hii maana kuna siku alishawahi tishia waandishi kuwa ataua mtu tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahNa kuna siku pia aliaagiza aletewe kadi zake za bank gerezani ili alipe school fees za wanawe!! Kweli dish linaweza kua limeyumba!!
[emoji23][emoji23][emoji23] ila wee khaaahNa tena huko koote wanasema kulikuwa na mafuta