Unamchoma mtu afu unasema ulimuua hukukusudia?Sasa si umeona kumbe hadi majirani wanafahamu kila kitu.
Jamaa amekuwa honestly ameamua kuipatia uhuru nafsi yake kwa kusema ukweli ambao ulikuwa kwenye kifua chake.
Na mahakama inatambua kuua bila kukusudia ni bahati mbaya hivyo sidhani kama kutakuwa na kifungo kikubwa.
Kwani alivyokuwa anamchoma ndio alikuwa anamuua?Unamchoma mtu afu unasema ulimuua hukukusudia?
Unasikitika nini au ulitaka niseme mama ndio kila kitu?hapana kwangu haipo hivyo ila mzee ni mtu niliyemzoea sana tena sana kuliko mtu yeyote yule nakuwa free kumuambia chechote kileduuh mama sio kitu?? itakuwa mama wa kambo huyooo 😀 😀 😀
Pili kichwa Cha mkewe kiliwai sana kuungua maana alikuwa anakigeuza. Tatu amedai Tako lilikuwa na mafuta mengi. Nne sehemu za Siri za Naomi zlikuwa na mafuta. Tano matiti pia yalikuwa na mafuta.
Sehemu zote zilizokuwa na mafuta zilichelewa kuungua ila zilisaidia moto kukolea.
Kuna umuhimu wa sheria za ndoa, hasa kipengele cha kutalikiana kibadilishwe. Wanawake wengi wameuliwa sababu ya ndoa.
Ndoa za siku hizi nazo pasua kichwa. Fikiria hawa wanandoa ni vijana. Walikuwa na maisha yao tayari wanajimudu. Sijui mdudu gani aliwaingia.
Yani haiwezekani kila ndoa inayovunjika chanzo ni mwanamke, hata kikitokea kifo cha mmoja wao haijalishi ni mke au mume chanzo huwa ni mwanamke tu lazima kuna tatizo mahali, wanaume ni either mnajiona innocent sana au mnahisi makosa yenu ni madogo sana hivyo yanastahili kuvumilika tuNaomi alishapata jamaa mwengine aliyemzuzua, mtuhumiwa alikuwa anajua na walishajaribu kusuruhisha lakini Naomi alikuwa kichwa bure akawa anadai talaka ndoa ivunjwe wagawane pasupasu ili atimkie kwa mshkaji mpya.
Kama mashuhuda wanavyosema, ilifikia kipindi Naomi analetwa na mshkaji mpaka nyumbani Gezaulole na mshtakiwa anapata habari lakini alikuwa kimya baada ya suluhu zote kwa mshenga mpaka wazazi kugonga mwamba. Wakawa wanaishi ili mradi tu siku zisonge watoto waende shule,Visa vilikuwa vingi kwa upande wa Naomi juu ya mumewe. Hakika mtuhumiwa alimvumilia sana mkewe...
Yote juu ya yote ndio hayo tuliyosikia yaliyotokea na mtuhumiwa amekiri wazi na kuelezea jinsi ilivyokuwa siku hiyo...
Noma,Luwonga anadaiwa kumuua mke wake Naomi kisha kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa na baadaye alichukua majivu ya mwili wa marehemu na kwenda kuyafukia shambani kwake Mkuranga mkoani Pwani.
mama sio kila kitu wala baba sio kila kitu...anyway kila mtu ana uhuru wake..!!Unasikitika nini au ulitaka niseme mama ndio kila kitu?hapana kwangu haipo hivyo ila mzee ni mtu niliyemzoea sana tena sana kuliko mtu yeyote yule nakuwa free kumuambia chechote kile
Hamkosekani km nyinyi ndio hua mnaishia kupigwa na praiziYani haiwezekani kila ndoa inayovunjika chanzo ni mwanamke,
Huyu jamaa ku struggle kote maishaNdio maana mwenzetu dronedrake yupo sahihi kuikataa NDOA.
Kwa Kweli ndoa Zina mambo Sana Ni vile watu hawajui tu.
Mimi siongelei cases za wanaume bali naongelea case na watu ninaowafahamu. Sijawataja watu wengine kwenye comments zangu zaidi ya marehemu Naomi na mumewe tu. Sasa hizo zingine kama vyanzo ni wanawake au wanaume mimi sizijuiYani haiwezekani kila ndoa inayovunjika chanzo ni mwanamke, hata kikitokea kifo cha mmoja wao haijalishi ni mke au mume chanzo huwa ni mwanamke tu lazima kuna tatizo mahali, wanaume ni either mnajiona innocent sana au mnahisi makosa yenu ni madogo sana hivyo yanastahili kuvumilika tu
wewe na huyo mganga wako wote hamna akiliPana mtumishi mmoja wa Mungu akiwa mganga zamani alitoa ushuhuda jinsi kwanini wanandoa wanauwana,
Kama wanamuhitaji mmoja wao Huwa wanatuma mapepo mawili moja kwa mme mwingine kwa mke then kinatafutwa chanzo Cha maudhi kupitia kauli mnaanza kujibizana majibizano upambano moto kwa msaada wa Yale majini mawili yatapelekea mtavurugana haswa mtaanza kupigana ugomvi huo ndio upelekea kifo Cha mlengwa either kwa hasira utamshuti risasi,kumchoma kisu,kumbamiza kichwa,kuangukia kwenye meza ya kioo nk then utabeba hospital ndio kwa heri hio then Yale majini mawili yanaondoka ndipo ufahamu wako unarudi unaanza kuhisi hatia maswali kibao kwann nilikosa uvumilivu.
Watu wajifunze sana somo la emotional intelligence yaani jinsi ya kuikabili migogoro ya ndoa.
Inisaidia usiingie jela kisa mapenzi
Seems like you have never been in a corner sweetheart.😊 You can do the craziest thing you have never imagined before alafu baadae ukajicheka mwenyewe😂😂Sasa analazimisha?
Ajue kila kosa lina chembe chembe zake.Kakusudia ndo maana aliplan kuficha
Kimya hicho anaagiza magunia ya mkaa kwenye malori ya mafuta, anamlia gepu tu siku zisogee amfanye kitu hajawahi kufanywa hivi km itakua alisikia mpaka clip km ya yule dada yake na fulani akijisifu kutatuliwa marinda alafu voice note imevujaNaomi alishapata jamaa mwengine aliyemzuzua, mtuhumiwa alikuwa anajua na walishajaribu kusuruhisha lakini Naomi alikuwa kichwa bure akawa anadai talaka ndoa ivunjwe wagawane pasupasu ili atimkie kwa mshkaji mpya.
Kama mashuhuda wanavyosema, ilifikia kipindi Naomi analetwa na mshkaji mpaka nyumbani Gezaulole na mshtakiwa anapata habari lakini alikuwa kimya baada ya suluhu zote kwa mshenga mpaka wazazi kugonga mwamba. Wakawa wanaishi ili mradi tu siku zisonge watoto waende shule,Visa vilikuwa vingi kwa upande wa Naomi juu ya mumewe. Hakika mtuhumiwa alimvumilia sana mkewe...
Yote juu ya yote ndio hayo tuliyosikia yaliyotokea na mtuhumiwa amekiri wazi na kuelezea jinsi ilivyokuwa siku hiyo...
We fikiria mpaka jamaa anasema kuwa atataoa ushahidi au atawapa mashahidi ushahidi kuonesha kuwa hakuuwa kwa kukusudia. The guy has been so honest on his caseSasa si umeona kumbe hadi majirani wanafahamu kila kitu.
Jamaa amekuwa honestly ameamua kuipatia uhuru nafsi yake kwa kusema ukweli ambao ulikuwa kwenye kifua chake.
Na mahakama inatambua kuua bila kukusudia ni bahati mbaya hivyo sidhani kama kutakuwa na kifungo kikubwa.
Nani anakudanganyaHata akiachiwa hatia itamuhukumu maisha yake yote hawezi kuwa sawa.
Labda aishi maisha ya kumtumikia Mungu
Huko mbinguni una uhakika kupo?[emoji848]Wanaonyongwa upata nafasi kubwa sana ya kuingia mbinguni kwa sababu wanapata mda mwingi sana wa kufanya toba na kutokuwa na nafasi ya kuingiza dhambi nyingine mpya mawazoni mwao sababu ya kukaa upweke peke Yao,wanakuw tayari washakufa kiroho yaani kukosa tumaini.