maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Sina mengi ya kuongea njoo inbox
Kwa nini inbox?Sina mengi ya kuongea njoo inbox
Wewe ni mtajiKwa nini inbox?
Am a greater thinker! naanzaje kuwa mtaji...Wewe ni mtaji
Eh kweli wanaume tuna huruma, hadi ww kuna boy ameingiza dyudyu yake hapo 🙌We mbaba nakaribia kujifungua, uje ukinge maziwa!
Things happen ndugu gTAm a greater thinker! naanzaje kuwa mtaji...
Mimi ndio namuhurumia alivyo pauka akawa😂Eh kweli wanaume tuna huruma, hadi ww kuna boy ameingiza dyudyu yake hapo 🙌
Acha kunidogoesha mkuu am a GT kwa herufi kubwa!Things happen ndugu gT
Sawa GTAcha kunidogoesha mkuu am a GT kwa herufi kubwa!
Ukishasema neno OFFER, Hiyo tayar ni BURE, sasa kama lugha tuu inakupiga chenga, utakua na msaada kweli 🤔Basi nielekeze bwana ili niwafikie wateja kiulahisi kama unamjua mtu niko tayali kumpa offer ya bure
Changamoto za mwanamke kutoshika ujauzito zipo nyingi sana, sio kila changamoto itatatuliwa na dawa, unalijua hilo?Sina mengi ya kuongea njoo inbox