Anayesupply samaki popote Golden, akae akijua anafanyiwa fitina

Anayesupply samaki popote Golden, akae akijua anafanyiwa fitina

Habari Wanajf!

Leo Nikasema nijitoe out nikaenda Zangu Msasani kwenye hotel ya Golden.... Nilipofika kama kawaida akaja Muhudumu akanipa Menu ya vinywaji nikachagua, Nikapewa menu ya chakula nikawa naperuzi ipi nichukue...
Samaki gani? Samaki wapo wengi sana, na utamu unatofautiana. Achilia mbali mapishi. Hata kuku mbaya anaweza kuwa mtamu kulingana na mapishi. Ila msinunue mayai ya Shoppers Plaza.
 
Atakua hajalipwa stahiki zake

Kama hajalipwa anasubiri nini kudai haki yake na kuondoka kuliko kumharibia mtu biashara yake! Kwenye biashara yangu sitaki kabisa mchezo, nalipa haki zake, nafukuza then naweka mwingine, huyu akileta ujinga nalipa nafukuza.

Hakuna kubembelezana, ndio maana nchi za kiarabu wengi wao wanashindwa kufanya kazi, (Simu, uvivu, waongeaji na tabia mbaya/uhuni)
 
Hata kama ni kweli! Sio sawa kumchagulia mtu ikiwa wewe ni muhudumu, muache mteja achague nini anataka akicomplain kosa sio la muhudumu ni la Hotel.
Kosa sio lako tatizo ujasoma CUSTOMER SERVICE.
Umajuaje sijasoma? Sasa nakuhakikishia kama ni kweli hao samaki siyo wazuri basi huyo mhudumu ndiyo anajua na amesoma customer service kuliko wewe.

BTW mimi naona kama umekurupuka kwa sababu ume-assume kuna mtu ana supply samaki pale kitu ambacho kinaweza kuwa siyo hivyo wanavyopata samaki wao. Au unaweza kukuta mwenye ku-supply kuku na samaki ni huyo huyo.
 
Habari Wanajf!

Leo Nikasema nijitoe out nikaenda Zangu Msasani kwenye hotel ya Golden.... Nilipofika kama kawaida akaja Muhudumu akanipa Menu ya vinywaji nikachagua, Nikapewa menu ya chakula nikawa naperuzi ipi nichukue...
Wataluona mnaa aisee si mchezo.

Safi bana umemsaidia Mtanzania mwenzako asianguke kibiashara
 
MOyo umeniuma sanaa! Nikaimagine vipi anayesupply samaki angekua mzazi wangu au mimi
Mimi sishangai kwasababu kwenye utafutaji wa ridhiki kuna fitina nyingi sana.
Hata huko makazini watu wanaharibiana sana kwa sabb ya fitina.
Ni ujinga sana kumfanyia fitina mwenzako kwenye masuala ya ridhiki. Mungu anatoa ridhiki kwa mtu yoyote na hizi mali tutakufa na kuziacha
 
Back
Top Bottom