Anayesupply samaki popote Golden, akae akijua anafanyiwa fitina

Anayesupply samaki popote Golden, akae akijua anafanyiwa fitina

Samaki gani? Samaki wapo wengi sana, na utamu unatofautiana. Achilia mbali mapishi. Hata kuku mbaya anaweza kuwa mtamu kulingana na mapishi. Ila msinunue mayai ya Shoppers Plaza.
Na wewe umeanza!
 
Umajuaje sijasoma? Sasa nakuhakikishia kama ni kweli hao samaki siyo wazuri basi huyo mhudumu ndiyo anajua na amesoma customer service kuliko wewe. BTW mimi naona kama umekurupuka kwa sababu ume-assume kuna mtu ana supply samaki pale kitu ambacho kinaweza kuwa siyo hivyo wanavyopata samaki wao. Au unaweza kukuta mwenye ku-supply kuku na samaki ni huyo huyo.
Wewe kwenda zako na assumptions zako! Inaelekea unatabia kama hizo!
 
Hawa wahudumu wetu inabidi wapewe semina jinsi ya kumjibu mteja ,imagine anasema wazi kwamba samaki wanakaa hata wiki bila kufikiri anaharibu pia biashara ya hotel.
 
Don't take hili suala upande mmoja kama muhudumu alikosea kwa malengo ya kuuza kuku badala ya samaki maana hotel ni moja na sidhani kama biashara ya chakula inaweza kuwa na wahudumu madalali. Kwa uzoefu wangu nikienda hizi hotel kubwa hasa za beach etc nyingi vyakula kama samaki na kuku vinakaa muda mrefu kwenye friji na taste zikapotea kabisa..unaweza kuta ulipewa samaki ambaya hajakaa sana kwenye friji..NOTE. hotel nyingi hasa za beach ambazo hazina mzunguko mkubwa wa wateja take care unapokula nyama zozote maana nyingi zinakaa muda mrefu
 
Kwa Hi you commission yake ndio inibadilishie hamu yangu!
Unajua tena waswahili. Unajaribu kupiga hata pasipowezekana. Hawa ma-waiters wa hotel na Bar, Bongo ni janga. Japo hiyo sehemu inayozungumzwa hapa siyo ya uswazi, lakini uzoefu wangu unaonyesha wahudumu wana mbinu za kiharamia sana kupiga wateja.
 
Ndio this time kakwama!
 
Wewe kwenda zako na assumptions zako! Inaelekea unatabia kama hizo!
Mimi siyo waiter lakini. Hizo assumption siwezi kwenda nazo ila nitakuachia wewe utafakari. Inawezekana kabisa ndivyo ilivyo japo uwezekano ni mdogo. Nimefanya hivyo kwa sababu huwa wanasema kusikiliza pande mbili za mgogoro ni jambo la busara na wazungu wanasema no research no right to speak.
 
Don't take hili suala upande mmoja kama muhudumu alikosea kwa malengo ya kuuza kuku badala ya samaki maana hotel ni moja na sidhani kama biashara ya chakula inaweza kuwa na wahudumu madalali. Kwa uzoefu wangu nikienda hizi hotel kubwa hasa za beach etc nyingi vyakula kama samaki na kuku vinakaa muda mrefu kwenye friji na taste zikapotea kabisa..unaweza kuta ulipewa samaki ambaya hajakaa sana kwenye friji..NOTE. hotel nyingi hasa za beach ambazo hazina mzunguko mkubwa wa wateja take care unapokula nyama zozote maana nyingi zinakaa muda mrefu
Hiki ni kitu cha kawaida hotel zisizo na mzunguko mkubwa kuwa na samaki au nyama hasa kitimoto iliyokaa.
Lakini mara nyingi kuku huwa hawakai sana sababu supply ya kuku haiko na interruptions nyingi kama samaki hivyo inventory inaweza kuja kidogo management ikijua muda wowote kukitokea surge watapata kuku wa kutosha sokoni.
Lakini kwenye samaki na kitimoto mara uvuvi umezuiliwa ziwani, mara kuna mafua ya nguruwe marufuku kusafirisha kwa geographical area fulani.

Ningekuwa mimi ndio mteja ningeamini maneno ya mhudumu. Kukuta ni ukweli au uongo ni suala lingine tena. Huyo mteja kibongobongo nitasema ana kiherehere ila sitasema ni muongo. What if amechoshwa na wateja kadhaa wanaolalamika akiwaletea samaki wabovu? What if walalamikaji aliowazoea wanamtupia lawama yeye badala ya manager?
 
Back
Top Bottom