Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Hata kama ila kumbuka Mungu ni fundi kwenye suala la ridhiki.Sibishi ila nakupa challenge tu. Kuna uwezekano pia dada mhudumu analipwa kamisheni kwa kila kuku anayeuza.
Ndio maana maendeleo yanakawia.Wabongo kwa fitna! Wapo vizuri
Kambale yule yupo kama nyoka? Hata mie sili.. heri nile huo ugali na mchichaWasabato hawali kambale! Sijui wanaogopa zile ndevu?! Au sio kambale?
Nakushukulu sana kwa kujali biashara za wenzio,huu ndio utu!Wewe ndo unasupply au?ππ
Na wewe umeanza!Samaki gani? Samaki wapo wengi sana, na utamu unatofautiana. Achilia mbali mapishi. Hata kuku mbaya anaweza kuwa mtamu kulingana na mapishi. Ila msinunue mayai ya Shoppers Plaza.
Wewe kwenda zako na assumptions zako! Inaelekea unatabia kama hizo!Umajuaje sijasoma? Sasa nakuhakikishia kama ni kweli hao samaki siyo wazuri basi huyo mhudumu ndiyo anajua na amesoma customer service kuliko wewe. BTW mimi naona kama umekurupuka kwa sababu ume-assume kuna mtu ana supply samaki pale kitu ambacho kinaweza kuwa siyo hivyo wanavyopata samaki wao. Au unaweza kukuta mwenye ku-supply kuku na samaki ni huyo huyo.
Kwa hiyo commission yake ndio inibadilishie hamu yangu!Sibishi ila nakupa challenge tu. Kuna uwezekano pia dada mhudumu analipwa kamisheni kwa kila kuku anayeuza.
Unajua tena waswahili. Unajaribu kupiga hata pasipowezekana. Hawa ma-waiters wa hotel na Bar, Bongo ni janga. Japo hiyo sehemu inayozungumzwa hapa siyo ya uswazi, lakini uzoefu wangu unaonyesha wahudumu wana mbinu za kiharamia sana kupiga wateja.Kwa Hi you commission yake ndio inibadilishie hamu yangu!
Ndio this time kakwama!Unajua tena waswahili. Unajaribu kupiga hata pasipowezekana. Hawa ma-waiters wa hotel na Bar, Bongo ni janga. Japo hiyo sehemu inayozungumzwa hapa siyo ya uswazi, lakini uzoefu wangu unaonyesha wahudumu wana mbinu za kiharamia sana kupiga wateja.
Mimi siyo waiter lakini. Hizo assumption siwezi kwenda nazo ila nitakuachia wewe utafakari. Inawezekana kabisa ndivyo ilivyo japo uwezekano ni mdogo. Nimefanya hivyo kwa sababu huwa wanasema kusikiliza pande mbili za mgogoro ni jambo la busara na wazungu wanasema no research no right to speak.Wewe kwenda zako na assumptions zako! Inaelekea unatabia kama hizo!
Du. Namna umemvalia bukta kabisa. Endelea kutafakari assumptions zangu lakini...Ndio this time kakwama!
Waiter kawa director. Bora ulikomaa na samaki.
Hiki ni kitu cha kawaida hotel zisizo na mzunguko mkubwa kuwa na samaki au nyama hasa kitimoto iliyokaa.Don't take hili suala upande mmoja kama muhudumu alikosea kwa malengo ya kuuza kuku badala ya samaki maana hotel ni moja na sidhani kama biashara ya chakula inaweza kuwa na wahudumu madalali. Kwa uzoefu wangu nikienda hizi hotel kubwa hasa za beach etc nyingi vyakula kama samaki na kuku vinakaa muda mrefu kwenye friji na taste zikapotea kabisa..unaweza kuta ulipewa samaki ambaya hajakaa sana kwenye friji..NOTE. hotel nyingi hasa za beach ambazo hazina mzunguko mkubwa wa wateja take care unapokula nyama zozote maana nyingi zinakaa muda mrefu
Lakini "Nyoka" wengine hata HuwaogopiKambale yule yupo kama nyoka? Hata mie sili.. heri nile huo ugali na mchicha
Kila nyoka na kichwa chake πLakini "Nyoka" wengine hata Huwaogopi