Anayetaka kulisaidia Taifa ahakikishe Sheria zinazoipendelea ccm zinafutwa

Anayetaka kulisaidia Taifa ahakikishe Sheria zinazoipendelea ccm zinafutwa

Egoinya

Senior Member
Joined
Jun 12, 2025
Posts
192
Reaction score
399
Taifa litapona endapo zitasimikwa sheria za haki nchini ambazo hazionei chama chochote,,,

Rais asiwe m/kiti wa chama cha siasa,,, Mahakama zihakikishiwe Uhuru kwa kupewa vyanzo vya fedha kikatiba na bunge vilevile, hii ndiyo kansa inayosumbua Nchi , mahakama na bunge kutwa kucha kuipigia serikali magoti kuomba omba fedha haifai .
 
Ikiwa hivyo kuna mambo mema yatatamalaki.Tutapata watu sahihi kiutendaji na kisiasa.Hakuna daktari wa binadamu au mhandisi atakayeng'ang'ania udiwani au ubunge.
 
Back
Top Bottom