Poleni naona mnanumia kweliKwa usajili huu, kuna kila dalili mechi za makundi zitakapo anza, hatutayategemea tena yale MAPAKA yetu meusi uwanjani, au kuwasingizia wapinzani wetu kuwa na corona, ili kutuletea ushindi.
Hongereni sana viongozi wetu kwa kuliona hilo!!!
Sawa 🤴umeuliza swali nimekujibu ndugu yangu
Anamzoom kama hivi 🧐 ?Kisinda anamzoom tu
Hata kanuni za usajili za VPL sijui kama unazifahamu. Usajili wa VPL unaendelea.Ila mechi dhidi ya utopolo tutatumia paka ili kipigo kiongezeke kutoka kile cha 4G cha msimu uliopita kiwe 6G.
Umekurupuka wewe utopolo, wapi nimeongelea usajili?Hata kanuni za usajili za VPL sijui kama unazifahamu. Usajili wa VPL unaendelea.
Nyani fc bhana, nyie mchezaji anayejua kukimbia tu basi ni mzuri, Yule Kisinda ni forward lakini kwenye mechi 18 ana goli mbili. Afu bado mnamwimba.Kisinda anamzoom tu
Yaaani wanamsifia huyu jamaa balaa ila ukiangalia uwanjani hana impact kabusa zaidi ya mimbio tuuNyani fc bhana, nyie mchezaji anayejua kukimbia tu basi ni mzuri, Yule Kisinda ni forward lakini kwenye mechi 18 ana goli mbili. Afu bado mnamwimba.
Kisinda anamzoom tu
Huyu jamaa ana uwezo wa kuzuia hata akiwa benchiKisinda anamzoom tu
Shida ya utopolo ni wavivu wa kufuatilia habari. Nyie mkishawafuatilia Utopolo wenzenu akina Kitenge, mkule, Dauda nk basi.Maajabu haya yako Tanzania tu team inayocheza round ya kwanza sio inacheza round ya pili pamoja na kocha.
Maajabu ni timu A kusajili timu B kukasirikaMaajabu haya yako Tanzania tu team inayocheza round ya kwanza sio inacheza round ya pili pamoja na kocha.
Hawa achana nao wanajua kucheza kibao kata tumnahangaika kweli mazeee,tumeni matokeo ya mapinduzi cup huko CAS muingizwe top 20 ya teams bora africa
Shida ya utopolo ni wavivu wa kufuatilia habari. Nyie mkishawafuatilia Utopolo wenzenu akina Kitenge, mkule, Dauda nk basi.
CAF wameruhusu Timu za Klabu zinazoshiriki mashindano ya CAF waongeze idadi ya Wachezaji. Hii yote ni kwa sababu za athari za covid- 19.
Simba imeongeza Wachezaji hao kwa ajili ya tahadhari. Ili hata kama Wachezaji baadhi wakapata maambukizi bado iwe na Wachezaji watakao shindana
Labda kwa taarifa mimi ni Simba ila miaka ya karibuni bado simba lakini sio wale mpaka kupiga kelele. Mimi nimeongelea team za Tanzania sijaongelea team moja, wanaweza kusajili hata team mpya mpaka kocha sawa tu ila nimesema hali hii utaikuta Tanzania tu hakuna sehemu nyingine. Hao kina Liverpool tu majeruhi kibao lakini unaona wamekomaa kuna mtu katoa sababu ya corona ndio maana wameambiwa na CAF waongeze. Sasa tufanye ni kweli, team imesafiri na wachezaji 25 kufika kule wa tano corona team haiwezi kucheza? sababu hazina mashiko ila tunaweza kusajili tu wala sio issue, point yangu inabaki haya mambo yako kwetu tu.Maajabu ni timu A kusajili timu B kukasirika
Kwa wachezaji wote waliowasajili Simba ni bora wangepata Striker mkali pale mbele kama Justin Shonga. Hapo wangemaliza kazi asubuhi na mapema. Maana unakuta hawa wanaosajiliwa wanazidiwa uwezo hata na Hassan Dilunga, hivyo unakuwa ni upotevu wa rasilimali fedha.Huyo hapo mwamba
View attachment 1686616
Tofautisha usajili wa simba na hizo timu zingine unazosema zinasajili timu nzima.Labda kwa taarifa mimi ni Simba ila miaka ya karibuni bado simba lakini sio wale mpaka kupiga kelele. Mimi nimeongelea team za Tanzania sijaongelea team moja, wanaweza kusajili hata team mpya mpaka kocha sawa tu ila nimesema hali hii utaikuta Tanzania tu hakuna sehemu nyingine. Hao kina Liverpool tu majeruhi kibao lakini unaona wamekomaa kuna mtu katoa sababu ya corona ndio maana wameambiwa na CAF waongeze. Sasa tufanye ni kweli, team imesafiri na wachezaji 25 kufika kule wa tano corona team haiwezi kucheza? sababu hazina mashiko ila tunaweza kusajili tu wala sio issue, point yangu inabaki haya mambo yako
Shida Yenu unatoa mifano ya Liverpool wakati hata ujui kwa nini Liverpool haijasajili.Labda kwa taarifa mimi ni Simba ila miaka ya karibuni bado simba lakini sio wale mpaka kupiga kelele. Mimi nimeongelea team za Tanzania sijaongelea team moja, wanaweza kusajili hata team mpya mpaka kocha sawa tu ila nimesema hali hii utaikuta Tanzania tu hakuna sehemu nyingine. Hao kina Liverpool tu majeruhi kibao lakini unaona wamekomaa kuna mtu katoa sababu ya corona ndio maana wameambiwa na CAF waongeze. Sasa tufanye ni kweli, team imesafiri na wachezaji 25 kufika kule wa tano corona team haiwezi kucheza? sababu hazina mashiko ila tunaweza kusajili tu wala sio issue, point yangu inabaki haya mambo yako kwetu tu.
Huyo Shoga umemuona wapi? Mnakalili habari miaka mitatu iliyopita,Kwa wachezaji wote waliowasajili Simba ni bora wangepata Striker mkali pale mbele kama Justin Shonga. Hapo wangemaliza kazi asubuhi na mapema. Maana unakuta hawa wanaosajiliwa wanazidiwa uwezo hata na Hassan Dilunga, hivyo unakuwa ni upotevu wa rasilimali fedha.