Anayetengeneza pesa analipwaje?

Anayetengeneza pesa analipwaje?

KUHUSU MALIPO YA KUTENGENEZA PESA.

Kama walivyoeleza baadhi ya wadau waliotangulia, huwa ni makubaliano ya mamlaka husika na kitengo/kampuni inayotengeneza pesa. Taarifa sahihi na mahsusi ni ngumu kuzipata, na ni kwasababu za kiusalama; Hivyo ni ngumu kusikia benki kuu, serikali au kampuni zinazotengeneza pesa zinaongelea kwa uwazi jambo hili. Lakini zipo nchi ambazo taarifa zake zipo hadharani mfano kwa nchi ya Marekani;

Noti ya $1 na $2 inawagharimu 4.9 cents kuitengeneza, wakati $5 inagharimu 10.9 cents, $10 inagharimu 10.3 cents, $20 na $50 inagharimu 10.5 cents, na $100 inagharimu 12.3 cents. Kwa lugha rahisi, kadiri pesa inavyokuwa na thamani kubwa zaidi na gharama ya kuitengeneza inaongezeka.

SAWA, KWA HIYO - NANI HASA ANATENGENEZA PESA?

Kuna baadhi ya nchi zinatengeneza pesa zao ndani ya mipaka yake, aidha kwa kitengo kinachosimamiwa na serikali au kwa kutoa kandarasi kwa kampuni za ndani ya nchi. Mfano nchi ya Marekani ina kitengo maalumu kinachosimamiwa na serikali ambacho kazi yake ni kutengeneza pesa. Lakini pia zipo nchi ambazo ni kawaida kutengeneza pesa nje ya mipaka yao, mfano nchi kama Liberia haina kabisa mitambo ya kutengenezea pesa zake. Sijui Tanzania kama tuna hiyo mitambo au kampuni yenye hiyo mitambo.

MH! ASA KWANINI NCHI ZINATENGENEZA PESA UGHAIBUNI - BADALA YA KUNUNUA HIYO MITAMBO?

Kwa kifupi, ni zoezi gumu na ni gharama sana.Kampuni nyingi zinazohusika na utengenezaji wa pesa zimekuwa zikifanya biashara hiyo kwa karne kadhaa. Kwa hiyo wamebobea - wana teknolojia, uzoefu na wamejijengea rekodi nzuri katika ulinzi/usalama. Na kwasababu ya tenda nyingi wanazopata inakuwa ni biashara yenye faida kwao.

Kwa mfano; kampuni mojawapo inaitwa De La Rue - hii ilianza kutengeneza pesa mwaka 1860 mpaka sasa ni moja ya kampuni zinazoongoza kwa kutengeneza pesa nyingi zaidi duniani.

Kwa nchi zinazoendelea kiuchumi haileti maana kutengeneza pesa zake yenyewe. Kwanza inagharimu pesa nyingi sana kununua mitambo, ilhali idadi ya pesa zinazohitajika ni kidogo. Yaani ni sawa unaamua kununua YUTONG kwaajili ya mitoko ya kifamilia wakati una familia ya watu 6 tu... 🤣hehehe!. Lakini pia gharama zaidi ni zoezi la kuhakikisha mitambo hiyo inaendana na kasi ya mabadiliko ya kiteknolojia ili kukabiliana na pesa bandia.

Kwa kawaida kampuni moja ya kutengeneza pesa inachapisha noti zipatazo bilioni 1.4 kwa mwaka. Kwa hiyo kama nchi inahitaji noti chache chini ya hapo kiuchumi haileti maana. Marekani wao wanachapisha noti zisizopungua bilioni 7 kila mwaka (Hii ni idadi ya noti sio thamani ya noti).

NIMEKUELEWA, LAKINI..., KWANI KUNA HATARI YOYOTE KWA NCHI KUTENGENEZA PESA UGHAIBUNI?

Mwaka 2011 serikali ya Uingereza ilizuia pesa zenye thamani ya takribani Dinari Bilioni 1.86 (Karibu Trilioni 2.6 TZS) ambazo zilikuwa zimechapishwa na De La Rue kwaajili ya Libya, hali iliyopelekea upungufu wa pesa kwa nyakati za mwisho mwisho za utawala wa Kanali Muammar Gaddafi.

Hivyo kuna mida flani mamlaka za nchi ambako pesa zinachapishwa zinaweza kuzuia pesa za nchi nyingine lakini ni nadra sana kutokea. Ile ishu ya Libya liliwashtua wadau wengi lakini haikuwa na madhara makubwa kwani bado nchi nyingi zinatengeneza pesa nje ya mipaka yake. Hata kama hawapendi, watafanyaje - uwezo wa kuendesha mitambo hawana.

Kinadharia, nchi inaweza 'kuzamishwa' kwa kutengeneza pesa nje ya nchi kama mtengenezaji 'aki-snitch' - akachapisha noti nyingi zaidi ya zile zilizoagizwa, bila ruhusa ya benki kuu. Unajua kitakachotokea?... pesa zitakuwa zingi kinyama kitaa (Oversupplying an economy with cash). Pesa zikizidi mojawapo ya madhara yanayotokea ni mfumuko wa bei (inflation.) - na mfumuko wa bei una madhara mengi kuliko faida. Wazungu wanasema 'inflation is a big NO'

Nadharia nyingine ni kwamba, kuna hatari kuwa taifa ambalo linachapisha pesa za nchi nyingine linaweza kuzifahamu alama za siri/za ulinzi za noti fulani, hivyo wanaweza kutengeneza noti bandia. Nasema ni nadharia kwasababu hakuna ushahidi unaothibitisha kutokea kwa matukio ya aina hii.

Na kuna tatizo la uadilifu kwa nchi zile ambazo rushwa imetawala - yaani nchi ya mafisadi na wanachapisha pesa zao wenyewe.(Kichaa kakabidhiwa rungu!). "Do you trust people in your own country to print your own money?" alisikika mzungu mlevi mmoja pale Sinza Mori akimuuliza mzee mlevi mwenzake.

Yote kwa yote ukweli ni kwamba, hakuna chombo cha kimataifa kinachosimamia utengenezwaji wa pesa.

OH OK, APO NIMEKUSOMA - LAKINI KUNA MAHALI UMESEMA MFUMUKO WA BEI "UNA MADHARA MENGI KULIKO FAIDA",.. KWANI FAIDA YA MFUMUKO WA BEI NI ZIPI? ONGEA KWA KISWAHILI NIKUELEWE.😎

Ssssh sogea nikunong'oneze!! - Ni hivi, Benki kuu mara nyingi huwa inaratibu mfumuko wa bei, usizidi wala kupungua kiwango fulani... mara nyingi huwa ni 2%. Utaniuliza kwanini Benki kuu iratibu mfumuko wa bei? Hahaha, bila shaka wewe unadhani uchumi ungekuwa mzuri zaidi kama vitu vingekuwa havipandi bei kabisa, na mwisho wa siku tuwe wakweli, kwani nani anapenda vitu vya bei juu (Ukiachana na wadangaji)?😛😂 Ukweli ni kwamba BORA MFUMUKO WA BEI wa wastani na unaoratibiwa kuliko kinyume chake... yaani MPOROMOKO WA BEI (Sijui kama neno hilo ni sahihi) lakini kwa Kiinglishi wanaita 'deflation'.

Twende taratibu... Mporomoko wa bei unatokea pale ambapo bei za vitu zinashuka. Najua hapo umewaza- ah! sasa bei zikishuka si ndio fureshi kabisa ama nini??? Well, kinachotokea bei za vitu zinaposhuka 'consistently' watu wanaacha kununua nyumba, magari na bidhaa zingine kwa imani kuwa bei zitaendelea kushuka hivyo wanasubiri bei zifike chini zaidi ili wanunue. Uchumi unadorora, mzunguko wa pesa unakuwa mdogo sana.... Tuongee kiingredha kidogo kwa msisitizo au unasemaje? -"When shoppers expect prices to rise in the future, they will buy more now while prices are still low. That "buy more now" philosophy stimulates the demand needed to drive economic growth." Na ndio maana benki kuu inahakikisha inakuaminisha kuwa mfumuko wa bei utaendelea kuongezeka ili ununue vitu LEO na SIO KESHO kabla vitu havijapanda bei zaidi. Jinsi unavyofanya manunuzi, uchumi unaimarika.

Umeona hesabu hizo mdogo angu? Na umeelewa lakini?... sio unatoa macho tu!.

DAH! EBWANAEEE, NAONA TUVUTE PUMZI KIDOGO.

Sawa, tulikuwa tunaongelea mada ya kutengeneza pesa. Sasa chukua hii;

Mwezi Septemba, mwaka jana (2019) serikali ya Liberia ilitangaza kupoteza $104m (Takribani Bilioni 241 TZS) Ah hapana, hazikupotea kwasababu ya mikataba mibovu, au ufisadi hapana; bali hizo pesa - zikiwa taslimu - zilisepa katika mazingira ya kutatanisha. Yaani ni hivi: zile pesa zilikuwa zimeagizwa na benki kuu ya Liberia kutoka kwa wachapishaji nje ya nchi na zikafikishwa mpaka Liberia, na zikapitia mchakato wote wa utoaji mizigo uwanja wa ndege na kisha msafara wa kuzipeleka benki kuu ukaanza. Lakini mpaka leo hazijafika 😂😂😂 zilipotea wakati zimeshatoka uwanja wa ndege wa Liberia kupelekwa benki kuu. Hahahaaa wabongo noma... oupss kumradhi, wa-liberia nouma kabisa!

Naomba kuwasilisha.
😆😆😆 noma sana
 
Imenivutia kusoma,nimejifunza kitu hapa pia. Asante
 
Kwa nchi zinazoendelea kiuchumi haileti maana kutengeneza pesa zake yenyewe. Kwanza inagharimu pesa nyingi sana kununua mitambo, ilhali idadi ya pesa zinazohitajika ni kidogo. Yaani ni sawa unaamua kununua YUTONG kwaajili ya mitoko ya kifamilia wakati una familia ya watu 6 tu... [emoji1787]hehehe!. Lakini pia gharama zaidi ni zoezi la kuhakikisha mitambo hiyo inaendana na kasi ya mabadiliko ya kiteknolojia ili kukabiliana na pesa bandia.

Ssssh sogea nikunong'oneze!! - Ni hivi, Benki kuu mara nyingi huwa inaratibu mfumuko wa bei, usizidi wala kupungua kiwango fulani... mara nyingi huwa ni 2%. Utaniuliza kwanini Benki kuu iratibu mfumuko wa bei? Hahaha, bila shaka wewe unadhani uchumi ungekuwa mzuri zaidi kama vitu vingekuwa havipandi bei kabisa, na mwisho wa siku tuwe wakweli, kwani nani anapenda vitu vya bei juu (Ukiachana na wadangaji)?😛[emoji23] Ukweli ni kwamba BORA MFUMUKO WA BEI wa wastani na unaoratibiwa kuliko kinyume chake... yaani MPOROMOKO WA BEI (Sijui kama neno hilo ni sahihi) lakini kwa Kiinglishi wanaita 'deflation'.

Mwezi Septemba, mwaka jana (2019) serikali ya Liberia ilitangaza kupoteza $104m (Takribani Bilioni 241 TZS) Ah hapana, hazikupotea kwasababu ya mikataba mibovu, au ufisadi hapana; bali hizo pesa - zikiwa taslimu - zilisepa katika mazingira ya kutatanisha. Yaani ni hivi: zile pesa zilikuwa zimeagizwa na benki kuu ya Liberia kutoka kwa wachapishaji nje ya nchi na zikafikishwa mpaka Liberia, na zikapitia mchakato wote wa utoaji mizigo uwanja wa ndege na kisha msafara wa kuzipeleka benki kuu ukaanza. Lakini mpaka leo hazijafika [emoji23][emoji23][emoji23] zilipotea wakati zimeshatoka uwanja wa ndege wa Liberia kupelekwa benki kuu. Hahahaaa wabongo noma... oupss kumradhi, wa-liberia nouma kabisa!

Naomba kuwasilisha.
una uwezo mzur wa kuandika mzee[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Haya hii Sasa ndio jamii forum tunayoitaka Safi Sana yaani umeongea kwa mpangilio mzuri balaa agiza apple punch hapo nalipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUHUSU MALIPO YA KUTENGENEZA PESA.

Kama walivyoeleza baadhi ya wadau waliotangulia, huwa ni makubaliano ya mamlaka husika na kitengo/kampuni inayotengeneza pesa. Taarifa sahihi na mahsusi ni ngumu kuzipata, na ni kwasababu za kiusalama; Hivyo ni ngumu kusikia benki kuu, serikali au kampuni zinazotengeneza pesa zinaongelea kwa uwazi jambo hili. Lakini zipo nchi ambazo taarifa zake zipo hadharani mfano kwa nchi ya Marekani;

Noti ya $1 na $2 inawagharimu 4.9 cents kuitengeneza, wakati $5 inagharimu 10.9 cents, $10 inagharimu 10.3 cents, $20 na $50 inagharimu 10.5 cents, na $100 inagharimu 12.3 cents. Kwa lugha rahisi, kadiri pesa inavyokuwa na thamani kubwa zaidi na gharama ya kuitengeneza inaongezeka.

SAWA, KWA HIYO - NANI HASA ANATENGENEZA PESA?

Kuna baadhi ya nchi zinatengeneza pesa zao ndani ya mipaka yake, aidha kwa kitengo kinachosimamiwa na serikali au kwa kutoa kandarasi kwa kampuni za ndani ya nchi. Mfano nchi ya Marekani ina kitengo maalumu kinachosimamiwa na serikali ambacho kazi yake ni kutengeneza pesa. Lakini pia zipo nchi ambazo ni kawaida kutengeneza pesa nje ya mipaka yao, mfano nchi kama Liberia haina kabisa mitambo ya kutengenezea pesa zake. Sijui Tanzania kama tuna hiyo mitambo au kampuni yenye hiyo mitambo.

MH! ASA KWANINI NCHI ZINATENGENEZA PESA UGHAIBUNI - BADALA YA KUNUNUA HIYO MITAMBO?

Kwa kifupi, ni zoezi gumu na ni gharama sana.Kampuni nyingi zinazohusika na utengenezaji wa pesa zimekuwa zikifanya biashara hiyo kwa karne kadhaa. Kwa hiyo wamebobea - wana teknolojia, uzoefu na wamejijengea rekodi nzuri katika ulinzi/usalama. Na kwasababu ya tenda nyingi wanazopata inakuwa ni biashara yenye faida kwao.

Kwa mfano; kampuni mojawapo inaitwa De La Rue - hii ilianza kutengeneza pesa mwaka 1860 mpaka sasa ni moja ya kampuni zinazoongoza kwa kutengeneza pesa nyingi zaidi duniani.

Kwa nchi zinazoendelea kiuchumi haileti maana kutengeneza pesa zake yenyewe. Kwanza inagharimu pesa nyingi sana kununua mitambo, ilhali idadi ya pesa zinazohitajika ni kidogo. Yaani ni sawa unaamua kununua YUTONG kwaajili ya mitoko ya kifamilia wakati una familia ya watu 6 tu... 🤣hehehe!. Lakini pia gharama zaidi ni zoezi la kuhakikisha mitambo hiyo inaendana na kasi ya mabadiliko ya kiteknolojia ili kukabiliana na pesa bandia.

Kwa kawaida kampuni moja ya kutengeneza pesa inachapisha noti zipatazo bilioni 1.4 kwa mwaka. Kwa hiyo kama nchi inahitaji noti chache chini ya hapo kiuchumi haileti maana. Marekani wao wanachapisha noti zisizopungua bilioni 7 kila mwaka (Hii ni idadi ya noti sio thamani ya noti).

NIMEKUELEWA, LAKINI..., KWANI KUNA HATARI YOYOTE KWA NCHI KUTENGENEZA PESA UGHAIBUNI?

Mwaka 2011 serikali ya Uingereza ilizuia pesa zenye thamani ya takribani Dinari Bilioni 1.86 (Karibu Trilioni 2.6 TZS) ambazo zilikuwa zimechapishwa na De La Rue kwaajili ya Libya, hali iliyopelekea upungufu wa pesa kwa nyakati za mwisho mwisho za utawala wa Kanali Muammar Gaddafi.

Hivyo kuna mida flani mamlaka za nchi ambako pesa zinachapishwa zinaweza kuzuia pesa za nchi nyingine lakini ni nadra sana kutokea. Ile ishu ya Libya liliwashtua wadau wengi lakini haikuwa na madhara makubwa kwani bado nchi nyingi zinatengeneza pesa nje ya mipaka yake. Hata kama hawapendi, watafanyaje - uwezo wa kuendesha mitambo hawana.

Kinadharia, nchi inaweza 'kuzamishwa' kwa kutengeneza pesa nje ya nchi kama mtengenezaji 'aki-snitch' - akachapisha noti nyingi zaidi ya zile zilizoagizwa, bila ruhusa ya benki kuu. Unajua kitakachotokea?... pesa zitakuwa zingi kinyama kitaa (Oversupplying an economy with cash). Pesa zikizidi mojawapo ya madhara yanayotokea ni mfumuko wa bei (inflation.) - na mfumuko wa bei una madhara mengi kuliko faida. Wazungu wanasema 'inflation is a big NO'

Nadharia nyingine ni kwamba, kuna hatari kuwa taifa ambalo linachapisha pesa za nchi nyingine linaweza kuzifahamu alama za siri/za ulinzi za noti fulani, hivyo wanaweza kutengeneza noti bandia. Nasema ni nadharia kwasababu hakuna ushahidi unaothibitisha kutokea kwa matukio ya aina hii.

Na kuna tatizo la uadilifu kwa nchi zile ambazo rushwa imetawala - yaani nchi ya mafisadi na wanachapisha pesa zao wenyewe.(Kichaa kakabidhiwa rungu!). "Do you trust people in your own country to print your own money?" alisikika mzungu mlevi mmoja pale Sinza Mori akimuuliza mzee mlevi mwenzake.

Yote kwa yote ukweli ni kwamba, hakuna chombo cha kimataifa kinachosimamia utengenezwaji wa pesa.

OH OK, APO NIMEKUSOMA - LAKINI KUNA MAHALI UMESEMA MFUMUKO WA BEI "UNA MADHARA MENGI KULIKO FAIDA",.. KWANI FAIDA YA MFUMUKO WA BEI NI ZIPI? ONGEA KWA KISWAHILI NIKUELEWE.😎

Ssssh sogea nikunong'oneze!! - Ni hivi, Benki kuu mara nyingi huwa inaratibu mfumuko wa bei, usizidi wala kupungua kiwango fulani... mara nyingi huwa ni 2%. Utaniuliza kwanini Benki kuu iratibu mfumuko wa bei? Hahaha, bila shaka wewe unadhani uchumi ungekuwa mzuri zaidi kama vitu vingekuwa havipandi bei kabisa, na mwisho wa siku tuwe wakweli, kwani nani anapenda vitu vya bei juu (Ukiachana na wadangaji)?😛😂 Ukweli ni kwamba BORA MFUMUKO WA BEI wa wastani na unaoratibiwa kuliko kinyume chake... yaani MPOROMOKO WA BEI (Sijui kama neno hilo ni sahihi) lakini kwa Kiinglishi wanaita 'deflation'.

Twende taratibu... Mporomoko wa bei unatokea pale ambapo bei za vitu zinashuka. Najua hapo umewaza- ah! sasa bei zikishuka si ndio fureshi kabisa ama nini??? Well, kinachotokea bei za vitu zinaposhuka 'consistently' watu wanaacha kununua nyumba, magari na bidhaa zingine kwa imani kuwa bei zitaendelea kushuka hivyo wanasubiri bei zifike chini zaidi ili wanunue. Uchumi unadorora, mzunguko wa pesa unakuwa mdogo sana.... Tuongee kiingredha kidogo kwa msisitizo au unasemaje? -"When shoppers expect prices to rise in the future, they will buy more now while prices are still low. That "buy more now" philosophy stimulates the demand needed to drive economic growth." Na ndio maana benki kuu inahakikisha inakuaminisha kuwa mfumuko wa bei utaendelea kuongezeka ili ununue vitu LEO na SIO KESHO kabla vitu havijapanda bei zaidi. Jinsi unavyofanya manunuzi, uchumi unaimarika.

Umeona hesabu hizo mdogo angu? Na umeelewa lakini?... sio unatoa macho tu!.

DAH! EBWANAEEE, NAONA TUVUTE PUMZI KIDOGO.

Sawa, tulikuwa tunaongelea mada ya kutengeneza pesa. Sasa chukua hii;

Mwezi Septemba, mwaka jana (2019) serikali ya Liberia ilitangaza kupoteza $104m (Takribani Bilioni 241 TZS) Ah hapana, hazikupotea kwasababu ya mikataba mibovu, au ufisadi hapana; bali hizo pesa - zikiwa taslimu - zilisepa katika mazingira ya kutatanisha. Yaani ni hivi: zile pesa zilikuwa zimeagizwa na benki kuu ya Liberia kutoka kwa wachapishaji nje ya nchi na zikafikishwa mpaka Liberia, na zikapitia mchakato wote wa utoaji mizigo uwanja wa ndege na kisha msafara wa kuzipeleka benki kuu ukaanza. Lakini mpaka leo hazijafika 😂😂😂 zilipotea wakati zimeshatoka uwanja wa ndege wa Liberia kupelekwa benki kuu. Hahahaaa wabongo noma... oupss kumradhi, wa-liberia nouma kabisa!

Naomba kuwasilisha.
Mzee baba ww ndo umenipa majibu ya maswali yangu yoteee.nlokuwa najiulizagaa.
 
Back
Top Bottom