Hayo matukio yanamiona Lissu tu?Sasa tuache malalamiko ya kumuona lisu ni kama special cases
Hayo matukio yapo mengi sana
Joyce Gewe best loser katika ubora wakoBad loser
Na mimi ndo nilikuwa nawaza hili, huenda walikuwa wanachati mambo ya kimzaha mzaha.........ni sawa na usikie shabiki wa mpira aseme leo tutachinja mtu, basi wewe hilo jambo ulikomalie bila kujua alikuwa anaongea kwenye muktadha upi.Huyo dada askari ni wa kumsamehe tu buree, (mitandao huwa na mengi yakiwamo ya kutaniana na mengi tu ya kimasihara kwani tukumbuke askari ni mwanadamu, hivyo kazi yake isimuhukumu aidha kumuondoa kwenye kundi la ubinadamu)
NAOMBA ASIWEKEWE UMUHIMU MKUBWA KATIKA VICHWA VYETU NA VIONGOZI WAKE.
Hili swali nauliza kwa wajuzi wa sheria,hiyo kauli ya "akirudi tunaye" inaweza kutumika kumtia muongeaji hatiani? "akirudi tunaye" tunaye wapi? tunae nyumbani? tunae kwenye majukumu? tunaye kwenye siasa? tunaye kwenye kujenga nchi? tunaye kivipi? Isije kuwa Chadema wanatafuta mitaji midogo kwa ajili ya siasa zao changa.
Hata kunaswa kwa hiyo chat ni kazi yetu , ondoa shaka
Punguza ujuhaHuyo Lissu ni nani nchi hii kama sio kibwengo tu hamna Cha kumfanya huyo afande, Lissu hamtishi mtu kwa sasa katika hali ya kawaida hakuna wa kuhangaika na watu wa makundi maalumu maana wao wana heshima za kipekee kama malaika. Acheni uoga
Hayo matukio yanamiona Lissu tu?
Lissu ni special na kila mtu anajua hilo.
Ubaya wa Lissu ni kuutaka Urais ambao CCM wamejimilikisha.
Ona tofauti kati ya TL na Spunda wa Chauma
Lichama lililosababisha Nchi nzima internet ikazimwa 2020 October 27, 28, 29, 30 na 31 ni lichama kubwa sana.Kwani ccm walishindwa kumkata jina lake? Angefanya nn? Tume wangesema ajakidhi vigezo?
Chadema ukisikia kwenye mitandao utasema ni lichama ambalo anytime linaingia mtaani Ila In reality hakuna lolote
Mbowe alipata case ya terrorist amekaa jela almost mwaka mzima eeeh mlifanya nn?
Watu wanachafuanaKwa tunaomjua huyo Joyce alietrend kwenye picha sii polisi wala hajawahi kua. Picha ni za mtu mwingine na Joyce aliecomment ni mtu mwingine
Kiswahili kigumu kuandikaKwa hiyo kwa sasa ndio sababu inamfanya asiludi?
Lichama lililosababisha Nchi nzima internet ikazimwa 2020 October 27, 28, 29, 30 na 31 ni lichama kubwa sana.
Waulize waliozimaHizo ndio sifa za kijinga na ukubwa wa kijinga
Internet ingekuwepo mngefanya nn?
Waulize waliozima
Mbona kama una jazba tatizo nini mkuu?Makelele mengi kwenye keyboard tu, ground ni kama paka ameloa maji
Huyo kibaraka amefukuzwa na mabwana zake arudi kwao sasa anatafuta sababu ya kufuta ujio wake eti atashughulikiwa akifika.Wana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.
Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105