Anayetishia Ujio wa Lissu Tanzania ajulikana. Ni Afisa wa Polisi wa Kike Julius Nyerere International Airport (JNIA)

Anayetishia Ujio wa Lissu Tanzania ajulikana. Ni Afisa wa Polisi wa Kike Julius Nyerere International Airport (JNIA)

Kweli sura sio roho. Mtoto wa kike kuwa na roho chafu hata haipendezi.

Ila asilaumiwe sana, siasa zimejaa unafiki. Unaweza kuta watu wanapatana hadharani ila nyuma ya pazia uadui upo pale pale.
Labda ana maelekezo ya ziada.
Ni muhimu pia kujua kabila lake.

Nimemaliza
 
Wana JF

Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.

Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.

Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Picha zipo wapi
 
Pamoja na kwamba hakuna mtu ana shida na Lisu ila akiuawa hamna kitu kitafanyika, watu watalia watasahau basi

Maneno yako ni kweli , wameuwawa wengi wala hamna chochote kimefanyika .
 
Wana JF

Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.

Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.

Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Mjumbe hauwawi!
 
Mtu anayejielewa anaibiwa majimbo 20 analalamikia jimbo moja?

Si ndio nilikuambia walielezea mapema kuwa lengo lao ni kuwaona CCM wamebadilika ili kuweka mwanga wa chaguzi zinazokuja wewe ukaja na maneno ya kukataa kuwa si kweli. nikakuuliza jee uliwasikiliza ukaniambia hao ni wajinga
Sawa wewe mwenye akili nyingi bakia hivyo hivyo na kulaumu hapa kwenye JF labda CCM itaondoka
 
Huyo dada ni askari mdogo asiyestahili hizi harakati mnazofanya. Comment ya askari mdogo huko WhatsApp inageuka ajenda kweli tena wanaume wazima na tegemeo kwa chama? Angesema RPC?

Utafikiri majobless the way tunadaka mambo na kukimbizana nayo.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Unajua wale waliommwagia Mh. TL mvua ya risasi pale Area D - Dodoma walikuwa na vyeo gani pale getini Kijitonyama na Mbweni!!!??
 
Wana JF

Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.

Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.

Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
tunasema ole wake na hata yeye hatabaki salama.ajitafakari.tunataka siasa safi na si za chuki.
 
Wana JF

Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.

Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.

Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Lisu na CDM wapuuzeni hao wazushi,

Nimeiona maaskari Nchi nzima wakijiandaa kulinda mikutano ya hadhara sawasawa na agizo la AMIRI Jeshi mkuu.

Wenye vitambi wanatenga muda wa ziada Ili wawe fit Zaid.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nawasubiri kwenye mikutano nione kitatokea nini?

Hawa chadema ni bure kabisa. Walivyokuwa wanabweka juu ya mikutano nikitegemea muda huu kila kona kumechachamaa kwa ajili ya hiyo mikutano yao
Yaani mikutano ichachamae bila ya kuwa na mikakati na kuipanga!!??
Kweli CCM hamna kitu vichwani ndio maana miaka 60 ya uhuru bado mmeshindwa kuwa na mikakati ya kuondoa maadui wakuu wa Mtanzania zaidi ya kuongeza maadui wengine.
 
Lisu auawe kwa lipi?

Nitajie watu 3 wa Magufuli ambao ni wakali sana toka msiba wake utokee ambao ni tishio kwa Samia.

Alafu rais ni mtu mwenye nguvu sana hapa nchini, kufikiri anawaogopa wafuasi wa Magufuli ni kujilisha upepo!
Wakali si wanafahamika Kuna Bashiru, Polepole, na Kabudi let alone kina Mpina.

Ni kweli mwenyekiti wa CCM ana nguvu kuliko binadamu yeyote ILA presha ya upinzani plus presha ya ndani ya chama Mama Samia hatoiweza hata kama ana Dola.

2015 kikwete hakua na Dola? Ile presha mpaka kuelekea uchaguzi ikabidi wamteue JPM unadhani bila upinzani kuwa imara both ndani na nje ya CCM JPM angepitishwa?? Hofu ya kuanguka ndio ilibidi wampitishe mtu asiyekua makando Kando kuliko wengine.

Kama mama Hana hofu na yeyote asingemuita Mbowe mezani Wala asingetimua watu wa JPM serikalini
 
Huyo dada inawezekana ameongea hayo kishabiki tu, yuko upande wa wale wanaomlipa mshahara, hilo suala la yeye kusema akirudi tunaye, kwangu naona ni mihemko yake tu..

Unless otherwise, kama ikigeuka kuwa kweli hapo ndipo nitaamini alitumwa, naandika hivi kwasababu..

Nimeona Chadema wanalalamika kule twitter kuna watu wameandaliwa kuwafanyia vurugu kwenye mikutano yao itakapoanza, wanadai watu hao watavalishwa sare za chama chao, nasubiri kuona kama na hili litatokea niunganishe dots..
Hata Lissu alipopeleka malalamiko yake pale Central Police(DSM) ya kwamba kuna gari linamfuatilia alipuuzwa na baadhi ya wanazi walidai nani amuue Lissu eti mbona anajipa umuhimu ambao hana, kilichokuja kutokea ndipo ikaonekana kwamba ilikuwa ni planned move iliyopangwa 'Magogoni'.
Precautions ni jambo la busara siku zote.
 
Pamoja na kwamba hakuna mtu ana shida na Lisu ila akiuawa hamna kitu kitafanyika, watu watalia watasahau basi
Kama alivyouawa Jiwe ili kuirudisha nchi katika amani na sasa watu wanaishi kwa raha, waliolia walilia yakaisha.
 
Back
Top Bottom