Ni muhimu pia kujua kabila lake.Kweli sura sio roho. Mtoto wa kike kuwa na roho chafu hata haipendezi.
Ila asilaumiwe sana, siasa zimejaa unafiki. Unaweza kuta watu wanapatana hadharani ila nyuma ya pazia uadui upo pale pale.
Labda ana maelekezo ya ziada.
Picha zipo wapiWana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.
Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Nilitarajia CCM kuonyesha kweli imewacha zile siasa za kishetani lakini ni kinyume chakeKwahiyo ulitarajia ACT ichukue jimbo moja tu kati ya majimbo zaidi ya 20 ya uchaguzi yaliyoporwa?
Act hawakuwa na nia yoyote na hilo jimboNilitarajia CCM kuonyesha kweli imewacha zile siasa za kishetani lakini ni kinyume chake
Itakuwa hukuwasikiliza nini walisema kabla ya ule uchaguziAct hawakuwa na nia yoyote na hilo jimbo
Act hawakuwa na nia yoyote na hilo jimbo
Wajinga haoItakuwa hukuwasikiliza nini walisema kabla ya ule uchaguzi
Pamoja na kwamba hakuna mtu ana shida na Lisu ila akiuawa hamna kitu kitafanyika, watu watalia watasahau basi
Ndivyo uonavyo hiyo ni haki yako , Jee wewe uliye mwerevu umefanya kitu gani kuwaondoa CCM ?I
Wajinga hao
Mtu anayejielewa anaibiwa majimbo 20 analalamikia jimbo moja?Ndivyo uonavyo hiyo ni haki yako , Jee wewe uliye mwerevu umefanya kitu gani kuwaondoa CCM ?
Mjumbe hauwawi!Wana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.
Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Mtu anayejielewa anaibiwa majimbo 20 analalamikia jimbo moja?
Unajua wale waliommwagia Mh. TL mvua ya risasi pale Area D - Dodoma walikuwa na vyeo gani pale getini Kijitonyama na Mbweni!!!??Huyo dada ni askari mdogo asiyestahili hizi harakati mnazofanya. Comment ya askari mdogo huko WhatsApp inageuka ajenda kweli tena wanaume wazima na tegemeo kwa chama? Angesema RPC?
Utafikiri majobless the way tunadaka mambo na kukimbizana nayo.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
tunasema ole wake na hata yeye hatabaki salama.ajitafakari.tunataka siasa safi na si za chuki.Wana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.
Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Lisu na CDM wapuuzeni hao wazushi,Wana JF

Yaani mikutano ichachamae bila ya kuwa na mikakati na kuipanga!!??[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nawasubiri kwenye mikutano nione kitatokea nini?
Hawa chadema ni bure kabisa. Walivyokuwa wanabweka juu ya mikutano nikitegemea muda huu kila kona kumechachamaa kwa ajili ya hiyo mikutano yao
Wakali si wanafahamika Kuna Bashiru, Polepole, na Kabudi let alone kina Mpina.Lisu auawe kwa lipi?
Nitajie watu 3 wa Magufuli ambao ni wakali sana toka msiba wake utokee ambao ni tishio kwa Samia.
Alafu rais ni mtu mwenye nguvu sana hapa nchini, kufikiri anawaogopa wafuasi wa Magufuli ni kujilisha upepo!
Hata Lissu alipopeleka malalamiko yake pale Central Police(DSM) ya kwamba kuna gari linamfuatilia alipuuzwa na baadhi ya wanazi walidai nani amuue Lissu eti mbona anajipa umuhimu ambao hana, kilichokuja kutokea ndipo ikaonekana kwamba ilikuwa ni planned move iliyopangwa 'Magogoni'.Huyo dada inawezekana ameongea hayo kishabiki tu, yuko upande wa wale wanaomlipa mshahara, hilo suala la yeye kusema akirudi tunaye, kwangu naona ni mihemko yake tu..
Unless otherwise, kama ikigeuka kuwa kweli hapo ndipo nitaamini alitumwa, naandika hivi kwasababu..
Nimeona Chadema wanalalamika kule twitter kuna watu wameandaliwa kuwafanyia vurugu kwenye mikutano yao itakapoanza, wanadai watu hao watavalishwa sare za chama chao, nasubiri kuona kama na hili litatokea niunganishe dots..
Kama alivyouawa Jiwe ili kuirudisha nchi katika amani na sasa watu wanaishi kwa raha, waliolia walilia yakaisha.Pamoja na kwamba hakuna mtu ana shida na Lisu ila akiuawa hamna kitu kitafanyika, watu watalia watasahau basi