Autodidacts
JF-Expert Member
- Jun 9, 2021
- 1,165
- 1,804
Tuone sasa!Hamuwezi kumfanya lolote wala chochote
Nilishindwa kuchagua, nikupe 'like' au mshangao?Hamna kitu? Chuki ni mbaya.... kwani watu wa JPM huoni wamekua wakali sana Toka msiba wake na ipo wazi CCM Kuna mpasuko kitu ambacho mama kinampa presha. No wonder akaona Bora maridhiano Ili awazibe mdomo wapinzani kwa muda Ili apambane na wapinzani wa ndani kwanza. Ila akiuawa Lissu Ina maana probability ya Chadema kuuangana na watu wa JPM Ni kubwa sana kitu ambacho kitakua mwisho wa Samia kisiasa.
Huu ni uchochezi .. Tutafika kweli?Wana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.
Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Amiri anasema yeye anaweza kuwa hana neno lakini kuna chawa wakeHuyu anapingana na Amiri Jeshi Mkuu,aliyetoa mwelekeo wa majeshi kuhusu siasa za nchi na usalama wa wananchi,basi amevunja kiapo chake cha uaminifu kwa Amiri Jeshi Mkuu na katiba ashughulikiwe, amedharirisha viongozi wake.
Asiludi = asirudi.Kwa hiyo kwa sasa ndio sababu inamfanya asiludi?
Kwa mpumbavu kama wewe utaona ni askari mdogo tutajie aliyemshambulia kama alikuwa ni askari mkubwa au mdogo?Huyo dada ni askari mdogo asiyestahili hizi harakati mnazofanya. Comment ya askari mdogo huko WhatsApp inageuka ajenda kweli tena wanaume wazima na tegemeo kwa chama? Angesema RPC?
Utafikiri majobless the way tunadaka mambo na kukimbizana nayo.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Na kwa nini hao wakuu wasimuwajibishe kama hawako naye pamoja?Si kutumwa. Anajituma mwenyewe ili wakuu wa nchi yao wamuone.
Wanaweza kuwa watoto na nyie wapumbavu ofisa wa polisi wa kike ana tofauti gani na wa kiume katika kutekeleza majukumu yao ya kutii maagizo kutoka mamlaka za juu?Hahahahaha acheni utoto, ofisa wa Polisi wa Kike Airport amtishe TL aka Lissu labda kama wana issur binafsi.
Umewaona wewe ukiwa kama nani?Lisu na CDM wapuuzeni hao wazushi,
Nimeiona maaskari Nchi nzima wakijiandaa kulinda mikutano ya hadhara sawasawa na agizo la AMIRI Jeshi mkuu.
Wenye vitambi wanatenga muda wa ziada Ili wawe fit Zaid.
Mzaha kwenye issue ngumu za kisiasa nchiniNi vizuri kujua muktadha mzima wa hayo mawasiliano, wakati mwingine watu humo kwenye magroup huweza kuongea mambo kimzaha mzaha. Labda kuna mtu alipost habari ikiwa na picha na ujumbe wa Lissu kurudi nchini, sasa kwenye comments ndo wakawa wanachangia hivyo kwa muktadha wa kufanya mzaha..........ni mtazamo wangu lakini.
Kama wewe siyo mpumbavu unayetaka kumanipulate watu wasione upuuzi wa ofisa wa polisi anayezungumzia kumdhuru kiongozi wa upinzani ambae alishambuliwa akanusurika kufa baada ya kushambuliwa, na hadi leo serikali na vyombo vyake vya usalama havijawahi kuwakamata wahusika.Me nadhan lisu anacheza na akili za watu tu, atakuwa Hana mpango wa kurudi na hataki kurudi
Hiko unachoongea ni cheap politics, na ndio chadema always mnatumia kulialia
Huyo WP kweka ni mtu mdogo Sana kwenye system ya police
Hana impact wala Hana amri yoyote ya kuweza kuamrisha watu wamfanye kitu lisu
And why mmetoa nusu ya maongezi? Toeni full basi mbona mmeishia hapo hapo Tu?
Acheni janja janja
Ask again!!! Swali jepesi sana.Umewaona wewe ukiwa kama nani?
Na umewaonea ukiwa wapi?
Askari kaingiwa mihemko tu,Kama siyo upumbavu prove kuwa huyu askari hakusema hayo aliyoyasema.
Kuwa CCM siyo lazima ujitoe akili uwe hayawani
Huyo polisi wa kike lazima atakuwa ametumwa na machawa kujaribu kushirikiana na genge lao kumuua Tundu Lissu kwa mara ya pili. Hawatafanikiwa kamwe hawa mbwa waliolaaniwa na shetani mkuu, Lucifer. Mungu amlinde kiongozi wetu Tundu Lissu na amuepushe na mabaya na hila za waovu afike nyumbani salama aje kuikomboa nchi kutoka utumwa wa CCM . Amina.Wana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.
Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Kwa nini mihemko iwe wapinzani tu? Haitokei kwa wa CCM?Askari kaingiwa mihemko tu,
Sku hizi siasa imeingia Hadi Kwa watumishi,
Lissu tulishampokea 2020, haipo haja ya kutengeneza mapokezi mengine,
Akiibukia mkutano wa mza trh 21 naamini ni nzuri,
Tusipoteze muda.
Naamini Lissu atakuwepo mkutano wa mza trh 21.Huo wako ni upumbavu, prove kuwa hakusema
Ni pote,Kwa nini mihemko iwe wapinzani tu? Haitokei kwa wa CCM?
Kwa hiyo unadhani maridhiano ni kwa sababu CHADEMA mnaogopwa? Ndiyo mnavyodhani?Kwa mpumbavu ni paper tiger lakini kwa wenye mamlaka waliachana na kikosi kazi wakazungumza na CHADEMA