Anayetishia Ujio wa Lissu Tanzania ajulikana. Ni Afisa wa Polisi wa Kike Julius Nyerere International Airport (JNIA)

Anayetishia Ujio wa Lissu Tanzania ajulikana. Ni Afisa wa Polisi wa Kike Julius Nyerere International Airport (JNIA)

Hamuwezi kumfanya lolote wala chochote
Tuone sasa!

with or without laws tutamshughulikia,ikibidi ata uchawi utahusika...mwepesi tu lazima tumshughulikie ata akikimbia nje ya nchi.

Ukiishi kwa upanga,utakufa kwa upanga...it's a law of nature,her days are numbered.
 
Hamna kitu? Chuki ni mbaya.... kwani watu wa JPM huoni wamekua wakali sana Toka msiba wake na ipo wazi CCM Kuna mpasuko kitu ambacho mama kinampa presha. No wonder akaona Bora maridhiano Ili awazibe mdomo wapinzani kwa muda Ili apambane na wapinzani wa ndani kwanza. Ila akiuawa Lissu Ina maana probability ya Chadema kuuangana na watu wa JPM Ni kubwa sana kitu ambacho kitakua mwisho wa Samia kisiasa.
Nilishindwa kuchagua, nikupe 'like' au mshangao?

CHADEMA "waungane na kundi la Magufuli" kumshughulikia Samia?

Nashawishika kusema, Hilo haliwezekani mkuu 'zitto junior', ila nisisahau uwepo wa miujiza na maigizo mengi nyakati zetu hizi!
 
Wana JF

Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.

Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.

Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Huu ni uchochezi .. Tutafika kweli?
 
Huyu anapingana na Amiri Jeshi Mkuu,aliyetoa mwelekeo wa majeshi kuhusu siasa za nchi na usalama wa wananchi,basi amevunja kiapo chake cha uaminifu kwa Amiri Jeshi Mkuu na katiba ashughulikiwe, amedharirisha viongozi wake.
Amiri anasema yeye anaweza kuwa hana neno lakini kuna chawa wake
Sasa ni kipi hamjaelewa
Hapo ni chawa kazini haina ubishi
 
Huyo dada ni askari mdogo asiyestahili hizi harakati mnazofanya. Comment ya askari mdogo huko WhatsApp inageuka ajenda kweli tena wanaume wazima na tegemeo kwa chama? Angesema RPC?

Utafikiri majobless the way tunadaka mambo na kukimbizana nayo.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kwa mpumbavu kama wewe utaona ni askari mdogo tutajie aliyemshambulia kama alikuwa ni askari mkubwa au mdogo?
Kama mamlaka zimesikia na kusoma na kupuuzia nini kinachoweza kuzuia asitekeleze anachosema? Upuuzi umekujaa na chuki na unadhani ukiwashambulia CHADEMA kwa just cause utawafanya washuke credibility, onyesha kuwa hiyo comment kutoka kwa askari anayetakiwa kuwa mlinzi wa usalama ni sahihi
 
Hahahahaha acheni utoto, ofisa wa Polisi wa Kike Airport amtishe TL aka Lissu labda kama wana issur binafsi.
Wanaweza kuwa watoto na nyie wapumbavu ofisa wa polisi wa kike ana tofauti gani na wa kiume katika kutekeleza majukumu yao ya kutii maagizo kutoka mamlaka za juu?
 
Lisu na CDM wapuuzeni hao wazushi,

Nimeiona maaskari Nchi nzima wakijiandaa kulinda mikutano ya hadhara sawasawa na agizo la AMIRI Jeshi mkuu.

Wenye vitambi wanatenga muda wa ziada Ili wawe fit Zaid.
Umewaona wewe ukiwa kama nani?
Na umewaonea ukiwa wapi?
 
Huyu ni hatari na Sumu mbaya ..atueleze waliomshambulia Lissu ...na Connection!!!!
 
Ni vizuri kujua muktadha mzima wa hayo mawasiliano, wakati mwingine watu humo kwenye magroup huweza kuongea mambo kimzaha mzaha. Labda kuna mtu alipost habari ikiwa na picha na ujumbe wa Lissu kurudi nchini, sasa kwenye comments ndo wakawa wanachangia hivyo kwa muktadha wa kufanya mzaha..........ni mtazamo wangu lakini.​
Mzaha kwenye issue ngumu za kisiasa nchini
 
Me nadhan lisu anacheza na akili za watu tu, atakuwa Hana mpango wa kurudi na hataki kurudi

Hiko unachoongea ni cheap politics, na ndio chadema always mnatumia kulialia

Huyo WP kweka ni mtu mdogo Sana kwenye system ya police

Hana impact wala Hana amri yoyote ya kuweza kuamrisha watu wamfanye kitu lisu

And why mmetoa nusu ya maongezi? Toeni full basi mbona mmeishia hapo hapo Tu?

Acheni janja janja
Kama wewe siyo mpumbavu unayetaka kumanipulate watu wasione upuuzi wa ofisa wa polisi anayezungumzia kumdhuru kiongozi wa upinzani ambae alishambuliwa akanusurika kufa baada ya kushambuliwa, na hadi leo serikali na vyombo vyake vya usalama havijawahi kuwakamata wahusika.
Unazidi kuprove upumbavu wako kwa kuingiza dhana zako za kilevi kuhusisha tukio dhahiri la ofisa usalama anayetakiwa kulinda usalama wa raia wote wapinzani inclusive kuonyesha nia ovu na kurudi kwa Lissu nchini. Ni UPUMBAVU.
Kama hana mamlaka ya kuamrisha kitu chochote tuonyeshe ni nani aliyeamrisha na ni nani aliyetekeleza shambulio la risasi zaidi ya 16.
Hivi bado mnaamini watanzania ni wapumbavu kama nyie mnavyojazwa upumbavu Lumumba?
 
Kama siyo upumbavu prove kuwa huyu askari hakusema hayo aliyoyasema.
Kuwa CCM siyo lazima ujitoe akili uwe hayawani
Askari kaingiwa mihemko tu,

Sku hizi siasa imeingia Hadi Kwa watumishi,

Lissu tulishampokea 2020, haipo haja ya kutengeneza mapokezi mengine,

Akiibukia mkutano wa mza trh 21 naamini ni nzuri,

Tusipoteze muda.
 
Ni Muhimu kubadili fikra za wanasiasa Kwa kusimamia hoja zisizo na tija.

Chuki dhidi ya Askari huyo wa kike zinakuzwa Kwa kiwango ambacho hakileti maana muafaka kosa alilolifanya huyo Askari ni chuki iliyokuwepo ambayo Kwa muafaka huo ilitakiwa KUONDOKA ajabu na mashabiki WANATUMIA Makosa Yale Yale yaliyofanywa na huyo Askari mmoja wa kike kama vile ni Jeshi zima limefanya.

Ni vema mkajipanga kutengeneza ajenda za kutukomboa Wananchi tutoke hapa tulipo kwama.

Ni vizuri zaidi kuhakikisha kwamba Hakuna chuki inayoenezwa dhidi ya yeyote.

Ushauri kwa Jeshi la Polisi msifanye Makosa kujibu hoja zisizo na mashiko kwasababu kwenye MITANDAO Kuna hoja nyingi hamtaweza kuwafurahisha wote wanaropoka kwenye MITANDAO ya KIJAMII.

Aidha Jeshi la Polisi lijiweke mbali na Siasa maana wanasiasa wa Pande zote WANATUMIA Polisi kama mtaji wa kisiasa shtukeni kila mtu ale Kwa jasho lake.
 
Wana JF

Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.

Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.

Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Huyo polisi wa kike lazima atakuwa ametumwa na machawa kujaribu kushirikiana na genge lao kumuua Tundu Lissu kwa mara ya pili. Hawatafanikiwa kamwe hawa mbwa waliolaaniwa na shetani mkuu, Lucifer. Mungu amlinde kiongozi wetu Tundu Lissu na amuepushe na mabaya na hila za waovu afike nyumbani salama aje kuikomboa nchi kutoka utumwa wa CCM . Amina.
 
Askari kaingiwa mihemko tu,

Sku hizi siasa imeingia Hadi Kwa watumishi,

Lissu tulishampokea 2020, haipo haja ya kutengeneza mapokezi mengine,

Akiibukia mkutano wa mza trh 21 naamini ni nzuri,

Tusipoteze muda.
Kwa nini mihemko iwe wapinzani tu? Haitokei kwa wa CCM?
 
Kwa nini mihemko iwe wapinzani tu? Haitokei kwa wa CCM?
Ni pote,

Ndani ya CCM na Serikali, mtikisiko Unaendelea,

Fuatilia kauli za viongozi wa chama na Serikali.

Bt mambo yatakuwa sawa tunaamini.
 
Kwa mpumbavu ni paper tiger lakini kwa wenye mamlaka waliachana na kikosi kazi wakazungumza na CHADEMA
Kwa hiyo unadhani maridhiano ni kwa sababu CHADEMA mnaogopwa? Ndiyo mnavyodhani?
 
Back
Top Bottom