Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Tufanye kwa mfano Rais wetu amewahi kunusurika jaribio lolote la kudhuru maisha yake na polisi haeajawahi kumpata hata mmoja. Halafu askari mmoja wa jeshi la polisi anasema kipindi hiki cha masika "tunaye huyu", jee mtasema ni mambo ya mitandao tuu tumpotezee?Huyo dada askari ni wa kumsamehe tu buree, (mitandao huwa na mengi yakiwamo ya kutaniana na mengi tu ya kimasihara kwani tukumbuke askari ni mwanadamu, hivyo kazi yake isimuhukumu aidha kumuondoa kwenye kundi la ubinadamu)
NAOMBA ASIWEKEWE UMUHIMU MKUBWA KATIKA VICHWA VYETU NA VIONGOZI WAKE.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app