Dr. Slaa,
mkuu wangu, kwanza nikuamkie na nikupe pole kwa majukumu...
nisingependa kujibizana na wewe humu lakini ukweli unaujua vizuri...kumbuka email uliyotumiwa hivi majuzi ikikupa feedback na ikielezea changamoto za kazi uliyotoa ya kufatilia taarifa za wale wahusika kwenye lile tamko la marando na kwamba baadhi ya details hazipo... kumbuka umesema vijana wanaendelea na kazi japo imekuwa ngumu....kumbuka yule bwana ambaye tumetoa maelekezo ya kumuanika popote pale na kwamba taarifa zake ni rahisi kuzipata..tuwaonee huruma watu wasio na hatia..tutende haki. tufanye siasa za kistaarabu..hatuwezi kujenga taifa jema kwa uzushi. sipendi kuweka hadharani mambo yote napenda kutahadharisha tuache haya mambo ya kuwazushia watu.