Von zelewisky
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 183
- 50
Mbona mnahaha? Au kunamawasiano nyeti yameliki tena? Kazi mnayo...tena nahisi yatakua ni mawasiliano kati ya 'mdini' na majaji walioamua rufaa za igunga na s'wanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si kweli bwana waombe tigo msamaha kwa kuandika uongo humu.
Mbona mnahaha? Au kunamawasiano nyeti yameliki tena? Kazi mnayo...tena nahisi yatakua ni mawasiliano kati ya 'mdini' na majaji walioamua rufaa za igunga na s'wanga
kwanini unarukia kusema ni uongo???
Unalipwa sh ngapi na hao cccm? Utasutwa umbea mtoto wa kiume! Pumbafu shogi we!
Kuna kitu kinaitwa data protection act sijui kama huko nyumbani kipo.
Mkuu leo utakuwa umezila za kutosha buku 7000/=
TIGO ni part of millicom international. Nawaamini sana jamaa kwenye information risk mgt, embu rudi tena na data zingine ili twende sawa. Hapa nadhani wewe ni mfanyakazi wa TIGO na hivyo wataka huyo mdada afukuzwe nchini ili kulinda maslahi yako binafsi.
Mtoa hoja kweli wewe ni dotcom kwani unataka kulikemea kosa kwa kufanya kosa.sijaona umakini wako.
Siri,siri,siri .
Ukimficha mtu anayewindwa na majambazi kwa kigezo cha siri huyo mzalendo akiuawa damu yake i juu yako.
Huyo Carlos sio mtu wa IT Yuko SALES atapataje hizo data
Kuna kitu kinaitwa data protection act sijui kama huko nyumbani kipo.
Inawezekana kabisa ana bifu naye maana kapiga picha akiwa ofisini. Pia inawezekana katumiwa na mfanyakazi ambaye alifukuzwa na kwa kuwa jamaa huwa hawana mizaha na wafanyakazi wazembe ikala kwake, sasa ameleta hasira zake kwa njia hii.