Anayetumiwa na CHADEMA kuvujisha SIRI za wateja wa TIGO huyu hapa

Anayetumiwa na CHADEMA kuvujisha SIRI za wateja wa TIGO huyu hapa

Status
Not open for further replies.
Mbona mnahaha? Au kunamawasiano nyeti yameliki tena? Kazi mnayo...tena nahisi yatakua ni mawasiliano kati ya 'mdini' na majaji walioamua rufaa za igunga na s'wanga
 
Dr. Slaa,

mkuu wangu, kwanza nikuamkie na nikupe pole kwa majukumu...

nisingependa kujibizana na wewe humu lakini ukweli unaujua vizuri...kumbuka email uliyotumiwa hivi majuzi ikikupa feedback na ikielezea changamoto za kazi uliyotoa ya kufatilia taarifa za wale wahusika kwenye lile tamko la marando na kwamba baadhi ya details hazipo... kumbuka umesema vijana wanaendelea na kazi japo imekuwa ngumu....kumbuka yule bwana ambaye tumetoa maelekezo ya kumuanika popote pale na kwamba taarifa zake ni rahisi kuzipata..tuwaonee huruma watu wasio na hatia..tutende haki. tufanye siasa za kistaarabu..hatuwezi kujenga taifa jema kwa uzushi. sipendi kuweka hadharani mambo yote napenda kutahadharisha tuache haya mambo ya kuwazushia watu.
 
Unalipwa sh ngapi na hao cccm? Utasutwa umbea mtoto wa kiume! Pumbafu shogi we!
 
Unalipwa sh ngapi na hao cccm? Utasutwa umbea mtoto wa kiume! Pumbafu shogi we!

watu wenye akili timamu hawatoi matusi...challenge hoja usiishie kutukana utakuwa mjinga huko tuendako
 
TIGO ni part of millicom international. Nawaamini sana jamaa kwenye information risk mgt, embu rudi tena na data zingine ili twende sawa. Hapa nadhani wewe ni mfanyakazi wa TIGO na hivyo wataka huyo mdada afukuzwe nchini ili kulinda maslahi yako binafsi.

Inawezekana kabisa ana bifu naye maana kapiga picha akiwa ofisini. Pia inawezekana katumiwa na mfanyakazi ambaye alifukuzwa na kwa kuwa jamaa huwa hawana mizaha na wafanyakazi wazembe ikala kwake, sasa ameleta hasira zake kwa njia hii.
 
Mtoa hoja kweli wewe ni dotcom kwani unataka kulikemea kosa kwa kufanya kosa.sijaona umakini wako.

Siri,siri,siri .
Ukimficha mtu anayewindwa na majambazi kwa kigezo cha siri huyo mzalendo akiuawa damu yake i juu yako.

vice versa is also true
 
kama wanaingilia na kunasa mawasiliano ya watu wanaopanga kulihujumu taifa letu kwa namna yoyote ile au kufanya uhalifu wowote wenye kutishia ustawi wa kiuchumi na usalama wa taifa letu sioni kama kuna ubaya , ubaya upo kama wanaingilia mawasiliano binafsi ambayo hayana madhara yoyote kwa taifa letu.
 
Inawezekana kabisa ana bifu naye maana kapiga picha akiwa ofisini. Pia inawezekana katumiwa na mfanyakazi ambaye alifukuzwa na kwa kuwa jamaa huwa hawana mizaha na wafanyakazi wazembe ikala kwake, sasa ameleta hasira zake kwa njia hii.

unajaribu kuhamisha mjadala ee??? nina uhakika na maelezo yangu na hakuna mahali nimemuonea mtu..waje wapinge na ntawachallenge ktk hoja zao..sio ww unabuni buni hapa..
 
Hahahahahaa baada ya filamu ya ugaidi ya nchemba na lodovick kufichuliwa na mawasiliano ya simu ya liyo kamatwa sasa mwatafuta mchawi hahahaa aibu zenu milele.
Kisha wajaribu kujiita mwanachama wa CDM wewe 'ghiriba' na mmbea wa santuri usiye na mashiko unatapatapa tu. aibu yako. aibuuuuuuuuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom