utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,813
- Thread starter
-
- #201
Huyo Carlos sio mtu wa IT Yuko SALES atapataje hizo data
Mkuu, kama huamini hoja taarifa hii sijui utaamini taarifa gani
Hahahahahaa baada ya filamu ya ugaidi ya nchemba na lodovick kufichuliwa na mawasiliano ya simu ya liyo kamatwa sasa mwatafuta mchawi hahahaa aibu zenu milele.
Kisha wajaribu kujiita mwanachama wa CDM wewe 'ghiriba' na mmbea wa santuri usiye na mashiko unatapatapa tu. aibu yako. aibuuuuuuuuu.
Kuna kitu kinaitwa data protection act sijui kama huko nyumbani kipo.
unajaribu kuhamisha mjadala ee??? nina uhakika na maelezo yangu na hakuna mahali nimemuonea mtu..waje wapinge na ntawachallenge ktk hoja zao..sio ww unabuni buni hapa..
Mbona haiaminiki kabisa! Mwehu yeyote barabarani anaweza kukurupuka na kucook up a story like this na kuipost hapa jf. Proof beyond doubts is needed here
unajifariji????Kaka hiyo nikweli, jamaa ana bif na shkaji. Hii iko wazi kabisa sasa anataka kuja huku jf kujaribu kumfedhehesha jamaa tu.
Achape lapa!
ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia???Wewe una cheo gani cdm wewe? sio uzushi mwingne huu mnatungia watu kes acheni njaa zenu mwisho ukifka huna njia lazima utii hilo...
Snema mpya hii usikute aliye post ana bifu la kimapenzi na jamaa, waswahili wanathamini ngono kuliko kazi.Kaka hiyo nikweli, jamaa ana bif na shkaji. Hii iko wazi kabisa sasa anataka kuja huku jf kujaribu kumfedhehesha jamaa tu.
Achape lapa!
mimi na wewe nani anapaswa kupata kupata aibu???? ungekuwa na akili timamu ungetumia muda kidogo kutafakari kilichoandikwa kuliko hivi ulivyokurupuka..any way..sio kosa lako
wanaJF,
Ninamchallenge kizazichadotcom, aweke hadharani hizo emails anazotaja! Vinginevyo ni upuuzi tu.
Naomba niwajulishe WanaJF kuna watanzania wema, wenye dhamira safi, wanaoelewa utawala bora, na wenye uchungu na Taifa hili. Ndio wanaotoa Taarifa ya aina zozote za uhalifu. Kumbuka uhalifu ni uhalifu, kutoa siri ya uhalifu ndani ya chombo chochote cha sheria au kupitia chombo cha Serikali ni jambo na kitendo cha kizalendo. Asiyekubali kuwa sehemu ya bozo na uchafu ni jukumu na wajibu wake kuweka hadharani.
Kumbukeni Marmo aliposema Bungeni Dr Slaa tutakukanata, jibu langu lilikuwa jepesi, "Marmo" tutakukamata wewe kwa kuwa ndani ya kabuki za Serikali haitakiwi kuwe na uozo wala uchafu wowote ule. Hivyo Chadema hatuhitaji kulipa wala kununua document yeyote ile kwa kuwa watanzania wengi bado wana dhamira safi hivyo wanapotoa wanatoa nyaraka kwa uzalendo.