AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Sure mkuu. Kwa sasa watu wataacha kuwasiliana kwa uhuru na wapenzi wao maana kwa jinsi nimjuavyo dr slaa atanogewa na ataanza kufuatilia kwa tamaa zake za kimapenzi. Babubwana wala hachoki. Au ndo analipiza ujana wake alioupoteza kwa kuwa padri
Kazi kweli huyu jamaa si anyongwe tu.
Issue kama hii kaka sio private ni public. Na kwa taarifa ni kwamba kwa nchi ambazo ziko serious, huyu jamaa alitakiwa awe under arrest. Rejea scandal ya News of the World iliyopelekea hiyo kampun yenyewe kufungwa.
Hii ni hatari hata kwa TIGO yenyewe as a company, wateja watawakimbia!
hiki chama hakifai katika jamii iliyostaarabika ya watanzania
Hivi unaweza kuthibitisha amefanya mnacho mtuhumu? au kwa sababu ya hiyo picha na namba yake? ujiulizi kwa nini tcra hawawapeleki cdm mahakamani? hiyo nchi gani unaiongelea mabayo inakamata watu kwa kuwa watu wamesema tuu hata bila ushahidi, labda unaongelea tanzania lakini si nchi zenye utawala wa sheria kwelikweli.
KWELI Marando kiboko yenu.
kwanini chadema inatafuta madaraka kwa nguvu hivi??? kuna nini kimejificha nyuma ya pazia???
usijifanye mjuaji wewe, ni huyo kwenye picha, unajitia upofu ee??
Kuna watu hapa wa ajabu kweli. Kwani kujiunga leo ndiyo kunamfanya awe tofauti kihadhi na kifkra hapa JF.
Kama alivyo Kikwete ambaye ni janga la kitaifa la Udini, ukabila na Ukanda.slaa ni janga la amani na mshikamano wa taifa letu
Kuna kitu kinaitwa data protection act sijui kama huko nyumbani kipo.
Kuna watu hapa wa ajabu kweli. Kwani kujiunga leo ndiyo kunamfanya awe tofauti kihadhi na kifkra hapa JF.
Chadema hawana maadili kabisa!!!
Kuiba mawasiliano binafsi ya watu ni sawa na KUPIGA CHABO...
View attachment 93568
View attachment 93569