Anayetumiwa na CHADEMA kuvujisha SIRI za wateja wa TIGO huyu hapa

Anayetumiwa na CHADEMA kuvujisha SIRI za wateja wa TIGO huyu hapa

Status
Not open for further replies.
Mh hivi niulize ikitokea Leo hii mtu kutoka kampuni yoyote ya sim akisema Ana namba za waliolusha bom Arusha jinsi walivyokuwa wanawasiliana atakua kaingilia mawasiliano ya watu?polis hawatajisifu kua tumenasa mawasiliano ya waarifu ? Acheni ushabiki
 
Chadema kama lingekuwa kwa mwigine wangeandamana kesho asubuhi.
 
Nchi yetu inajukumu sasa la kupambana na hawa wageni wasio waadilifu kwani wanatuvurugia taifa letu siwapendi,na hawa chadema wanalipeleka wapi taifa hili?
Mkuu, chadema wameshikwa pabaya. Wanakdhani kwa kuwakumbatia wazungu wasio waadilifu ndo watatwaa madaraka. Hawapati ng'o
 
Mbona na wewe umevujisha siri sasa!umeweka contact za mtu hapa kati,punguzeni majungu bhana!iv hii taarifa umeipeleka mahali husika mbali na jf?kama bado basi na wewe ni snichi au vp?
 
Mnataka kumchafua mzungu wa watu kwa tuhuma za kupika

Mkuuu ndio nimeona hapa wanataka kumchafua tu hana mpya jamaaa

Hakuna cha kupika. Naiamini taarifa hiyo kwa asilimia mia moja maana jamaa kaweka contact za mhusika zote


Acha mambo ya kijinga wewe jiheshimu, mtu kuweka mawasiliano na majina ya mtu haijalishi hata iweje acha mambo ya kijinga na kama mtu anataka hicho cheo cha huyo mzungu mseme na sio kumuharibia kijinga tu...punguani wewe.
 
  • Thanks
Reactions: ESI
HahaA! Nimeshapata dawa yake, namfahamu secretary wake, dereva wake na wasaidizi wake, nitawatumia hao kumwadabisha, si unajua ile kitu anatembea naye ben saanane?

wewe itabidi polis wakutafte
 
Kupitia tigo pamoja na Voda, airtel, zantel, yahoo, hotmail Gmail n.k ni sehemu ya mitandao ambayo siri chafu za ccm zimekuwa zikivuja pia, je huyu Rosel ana husika pia na kampuni zote hizi???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Huyo ndiyo ataeleza vizuri polisi kama yuko kwenye mtandao wa SNOOPING au he's acting alone.

Hapa ndiyo pa kuanzia.
 
Mh hivi niulize ikitokea Leo hii mtu kutoka kampuni yoyote ya sim akisema Ana namba za waliolusha bom Arusha jinsi walivyokuwa wanawasiliana atakua kaingilia mawasiliano ya watu?polis hawatajisifu kua tumenasa mawasiliano ya waarifu ? Acheni ushabiki
Kama watapeleka kwenye mamlaka husika haitakuwa tabu. Lakini kuwapa wahuni kama dr slaa huko ni kukiuka maadili ya kazi
 
kizazichadotcom

Utakapofuatwa hapo ulipo kusaidia mamlaka husika usianze kupiga kelele na kukana kuwa sio wewe.
 
Umeanza mwingine vipi umetumwa na Mchemba kweli shetani Hana aibu juzi tu ishu Moja imebuma Leo umeanza nyingine
 
Kwani UK kipo? Jibu ni ndiyo ila unamfahamu au umeshawahi kumsikia Rupert Murdoch? Na huyo mama je?

Rupert-Murdoch-and-Rebeka-007.jpg
Phone hacking scandal

Halafu leo unakuja kuuliza kama Tz kuna sheria....... Hizi News huwa mnafuatilia lakini?
Kuna kitu kinaitwa data protection act sijui kama huko nyumbani kipo.
 
fikra changa ndizo hutumiwa chadema wote tumepevuka kiakil wewe mwenye fikra changa TUMIKA
Nashukuru mkuu kwa kunithibitishia kuwa chadema kuna fikra changa. Poleni sana mnaoongozwa nafikra changa
 
Mtu kama huyu hana hata aibu. kwanza anaishi nchini kwa hisani halafu anaanza kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa sheria kwa SNOOPING AND SNIFFING huku akishirikiana na watu wanaojinasibisha kama wanataka kuzilinda sheria za nchi kwa njia ya kututawala.

How stupid is this?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom