Anayetumiwa na CHADEMA kuvujisha SIRI za wateja wa TIGO huyu hapa

Anayetumiwa na CHADEMA kuvujisha SIRI za wateja wa TIGO huyu hapa

Status
Not open for further replies.
Mzee slaa ajue kuwa watu mabo yake wanayafahamu na hiyo michezo yake ya kufanyia ujinga mawasiliano ya watu.
 
Acha chuki binafsi wewe. Jamaa kakuzidi ujanja ofisini halafu unakuja huku jf kumchafua. Rudi mkakae mmalize tofauti zenu, huo ndoo utakuwa muafaka salama.

Huku hatuna la kukusaidia, usije leta sinema za Mwigulu na Ludoviki.
 
Kuna kitu kinaitwa whistleblower (whistle-blower or whistle blower) sijui kama unakifahamu pia?
Tanzania hakuna sheria inayomkinga mpiga filimbi na hata kwenye nchi zenye hiyo sheria, kuna mipaka ya mpiga filimbi kupiga filimbi yake.

Huyu jamaa ana lake jambo halafu anaishi kwa hisani ya watu wa uhamiaji.

Yeye aingie kwenye email yangu na mawasiliano yangu ya simu halafu usiguswe na mkono wa sheria kwa sababu ni mpiga filimbi. NO.
 
Mimi nakuomba ufuatilie na mitandao mingine hasa vodacom manake tumeona habari za watu kurushiana pesa ziliwekwa hapa jambo ambalo pia sio jema (Mwigulu na Ludovick)
Dr Slaa huwa ni mwepesi wa kujibu mambo marahisi ila ishu zenye ukweli 100% unamuona akifuatilia hatii neno.
Mimi nadhani ni wakati wa kushughulikia uvunjwaji huu wa sheria.
 
Acha uongo wako huyo mzungu atowe data kwa chadema anajipendekeza nn kwa chama ambacho ajuwi kikiingia madarakani kitakuwa na sera gani kuhusu wageni na wawekezaji km yy

kwanza ujaonyesha ushahidi wako kwa hili

kwa taarifa yako IT uijuwi ww ungeijuwa usingetoa post ya kinazi km hii

huu ni uchochezi mkubwa na TIGO wanaweza kukupeleka mahakamani kwa uzushi wa mchana kweupe
 
Alafu kwa nini mambo haya yanatokea tigo tu? Si mnakumbuka ile ya kubenea? Namba zote ni za tigo. Nadhani watumishi wa tigo wanapenda sana tigo
 
acha uongo wako huyo mzungu atowe data kwa chadema anajipendekeza nn kwa chama ambacho ajuwi kikiingia madarakani kitakuwa na sera gani kuhusu wageni na wawekezaji km yy

kwanza ujaonyesha ushahidi wako kwa hili

kwa taarifa yako IT uijuwi ww ungeijuwa usingetoa post ya kinazi km hii

huu ni uchochezi mkubwa na TIGO wanaweza kukupeleka mahakamani kwa uzushi wa mchana kweupe
Wahusika wakanushe basi kama ni post ya uongo. Hata dr slaa ambaye ndo mtuhumiwa nambari moja hajatia mguu humu. Yupo upande wa guests anachungulia
 
huyu akiondoshwa tupo wengi tuu wazalendo tunaweza kufanya kazi hii free of charge, nchi kwanza
 
Mnaona mnaumbuka mnatafuta mchawi! Leta ushahidi wa hicho unachosema! Magamba mtaaibika kweli msimu huu!
 
UZALENDO NI KULIFANYIA MEMA TAIFA.
HIVI SIRI ZOTE ZILIZOWEKWA HADHARANI ZINA HATA CHEMBE YA UZALENDO?
KIASI CHA MLETA THREAD KUTAKA ZILINDWE KWA KUITWA SIRI????
kwa taarifa tu hakuna unafuu tena mtakaopata endeleeni kulusha mateke yanayoashilia anguko la wataala waliowasahau wananchi.
UMETOKA POVU KUTETEA NJAMA ZA KULIANGAMIZA TAIFA.bila shaka nawe ni mnufaika.
TAARIFA KWA WOTE WANADHANI KUNA USALAMA KWENYE MAWASILIANO.
hakuna nchi yoyote duniani inayoweza kudhibiti mawasiliano.
MUULIZENI MAREKANI NA CIBER ATACK.
MUNAMJUA JULIAN ASANJE.
ushauri wangu kwa wote wanaofanya mawasiliano MAOVU NA YAKIHALIFU HUKU WAKITEGEMEA HURUMA YA KITU KINACHOITWA SECURITY.
fanyeni yafuatayo
(i)aacheni kupanga mambo yenye uovu.
(ii)igeni mbinu ya gaidi maarufu OSAMA BIN LADEN,TUMIENI MBINU YA MESENJA WAAMINIFU KWA UJUMBE WA MDOMO AMA BARUA
NB:barua zinaweza kuvuja pia.
DAWA NI KUACHA MATUMIZI YOTE YA MAWASILIANO YA ELECTRONIC.
wataalamu wazalendo ni wengi sana sasa na hawatakoma kutoa taarifa za kiovu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Mnaona mnaumbuka mnatafuta mchawi! Leta ushahidi wa hicho unachosema! Magamba mtaaibika kweli msimu huu!
Ushahidi umeshapelekwa mahakamani. Kwani mtindo wa siku hizi ni kulikisha ishu kwenye mitandao sambamba na kufikisha polisi
 
Njaa mbaya kijana anatumika kwa maslahi ya Dr Slaa na Mbowe.
 
UZALENDO NI KULIFANYIA MEMA TAIFA.
HIVI SIRI ZOTE ZILIZOWEKWA HADHARANI ZINA HATA CHEMBE YA UZALENDO?
KIASI CHA MLETA THREAD KUTAKA ZILINDWE KWA KUITWA SIRI????
kwa taarifa tu hakuna unafuu tena mtakaopata endeleeni kulusha mateke yanayoashilia anguko la wataala waliowasahau wananchi.
UMETOKA POVU KUTETEA NJAMA ZA KULIANGAMIZA TAIFA.bila shaka nawe ni mnufaika.
TAARIFA KWA WOTE WANADHANI KUNA USALAMA KWENYE MAWASILIANO.
hakuna nchi yoyote duniani inayoweza kudhibiti mawasiliano.
MUULIZENI MAREKANI NA CIBER ATACK.
MUNAMJUA JULIAN ASANJE.
ushauri wangu kwa wote wanaofanya mawasiliano MAOVU NA YAKIHALIFU HUKU WAKITEGEMEA HURUMA YA KITU KINACHOITWA SECURITY.
fanyeni yafuatayo
(i)aacheni kupanga mambo yenye uovu.
(ii)igeni mbinu ya gaidi maarufu OSAMA BIN LADEN,TUMIENI MBINU YA MESENJA WAAMINIFU KWA UJUMBE WA MDOMO AMA BARUA
NB:barua zinaweza kuvuja pia.
DAWA NI KUACHA MATUMIZI YOTE YA MAWASILIANO YA ELECTRONIC.
wataalamu wazalendo ni wengi sana sasa na hawatakoma kutoa taarifa za kiovu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Mkuu unamawazo mazuri heko kwako mkuu endelea kuwapiga shule.
 
Mbunge mtarajiwa Chris Lukosi hata mambo ya msingi kuhusu nchi yako huyajui.

Naomba nikukumbushe kuwa Mwezi June umebisha hodi tunakusubiri na Container la mitumba grade one toka UK.
Muraa mimi sio mwana sheria.
Na pia sio rahisi kujua kila kitu hata kama uko hapo Dar.
Kuhusu mitumba nani alikuambia ninaleta mitumba ya bure? kwani mimi ni unicef?
 
Police wa TZ walivyo watupu na hii wataruka nayo. Rwakatare mmeona anakaribia kuwashinda, mnakuja na nyingine...shame CCM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom