Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Kwamba tukilima mahindi mengi tukauza nchi za nje hatuwezi pata hizo dollar?
Kwamba tukilima kahawa kwa wingi tukauza nje ya nchi hatuwezi pata hizo dollar?
Kwamba tukilima korosho kwa wingi tukauza nje ya nchi hatuwezi pata hizo dollar?
Tukilima mchele mtamu kwa wingi hatuwezi kupata hizo dollar?
Kwamba tukiamua kuacha kununua vitu visivyo vya lazima nje ya nchi hatuweza kuwa na dollar za kutosha kwenye benki zetu?
Kwamba tukiamua kuzalisha umeme, madini na gesi kwa wingi na kuuza nje ya nchi hatuwezi kupata hizo dollar?
Kwamba tukiamua kuanza kuzalisha mafuta ya petroli na dizeli hapa nchini kwa kutumia gesi asilia yetu na kupunguza kuagiza nchi za nje hatutakuwa tunabakiwa na dollar za kutosha?
Kwamba tukiamua kuanza kuzalisha mbolea na madawa ya kilimo kwa kutumia gesi yetu asilia kupunguza kuagiza nchi za nje hatutakuwa tunabakiwa na dollar za kutosha?
Calculating the Balance of Trade
A country's balance of trade is calculated by the following formula:
BOT=Exports−ImportsBOT=Exports−Imports
Example of How to Calculate the BOT
Here's an example of how to calculate the balance of trade:
Let's say that a country's exports of goods in a given year are worth $100 million, and its imports of goods are worth $80 million. To calculate the balance of trade, you would subtract the value of the imports from the value of the exports:
Balance of trade = Exports - Imports
= $100 million - $80 million
= $20 million