Anayewania urais Marekani ameiba picha ya Mkenya na kuitumia kwenye campaign

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Mbona Watanzania hawatajwi mahali popote likija kwenye siasa za Marekani? Pete Buttigieg anayefanya vizuri katika campaign ameamua kuiba picha ambayo inaonyesha mama wa Kikenya na mtoto wake ili kupiga campaign lakini tatizo ni hakuomba permission ya kutumia hiyo picha.

============

kenyan-woman-e1573908036312.png

Backlash over photo of Kenyan woman used for American campaign

There was outrage after an American firm used a photo of a Kenyan woman with a child to campaign for a 2020 presidential candidate.

Ryan Grim, who is the Bureau Chief for The Intercept, on Friday lashed out at the PR firm behind Peter Paul Montgomery Buttigieg.

”On top of everything else, the Buttigieg campaign used a stock photo from Kenya to promote its Frederick Douglass Plan for Black America,” he said on Twitter.

The bureau chief even tagged Nicholas Githiri, the photographer behind the picture that was used in Buttigieg’s manifesto.

A spot check by Citizen Digital on Saturday showed that the picture was yet to be pulled down.

Jodi Jacobson said on Twitter:” This is worse than lazy” while @Clarknt67 added: ”A trained visual arts professional reads the metadata in an image before posting. This is not rocket science.”

”Spin: Mayor Peye is the only candidate whose Black outreach went all the way to Africa. lol,” Tuxedo Mask quipped while James Baker joked: ”He’s talking in terms of the Diaspora…”

Peter Paul Montgomery Buttigieg is an American politician who has been the mayor of South Bend, Indiana, since 2012.

He is a candidate for the Democratic Party nomination in the 2020 United States presidential election.

Source: Citizen Digital
 
<blockquote class="twitter-tweet"><p lang="en" dir="ltr">On top of everything else, the Buttigieg campaign used a stock photo from Kenya to promote its Frederick Douglass Plan for Black America <a href="The Problem With Pete Buttigieg’s “Douglass Plan” for Black America">The Problem With Pete Buttigieg’s “Douglass Plan” for Black America</a> <a href="Ryan Grim on Twitter">pic.twitter.com/qBqei71TdA</a></p>&mdash; Ryan Grim (@ryangrim) <a href="">November 15, 2019</a></blockquote> <script async src="https://platform.twitter.com/widgets.js" charset="utf-8"></script>
 
1) Kwasababu Tanzania ni nchi huru wakati "Kenya not yet Uhuru"

2) Tanzania ni adui wa wazungu tangu enzi za vita vya ukombozi, wakati Kenya ni kibaraka wa wazungu

3) Mzungu ni MUNGU wa Wakenya, kwa Tanzania tunawafukuza kila kukicha, mfano mzuri ni ACACIA, wakati huko kwenu hadi leo wenye kumiliki mashamba ya chai ni Wazungu, Wakenya wanahangaika kurudishiwa mashamba yao.

Kenya not yet Uhuru
 
1)Kwasababu Tanzania ni nchi huru wakati "Kenya not yet Uhuru"
2)Tanzania ni adui wa wazungu tangu enzi za vita vya ukombozi, wakati Kenya ni kibaraka wa wazungu
3) Mzungu ni MUNGU wa wakenya, kwa Tanzania tunawafukuza kila kukicha, mfano mzuri ni ACACIA, wakati huko kwenu hadi Leo wenye kumiliki mashamba ya chai ni wazungu, wakenya wanahangaika kurudishiwa mashamba yao.
Kenya not yet Uhuru
Umesahau kwamba wazungu ndio wamekuwa wakiwaelimisha watoto wenu na kufadhili sekta yenu ya afya miaka hiyo yote? Misaada ya wazungu ndio huwa inajaza pengo la bajeti yenu, kwa asilimia kubwa, tangia mpate uhuru! Unatuhadaa kwamba mnajenga kwa hela zenu wakati bajeti yenu ya sekta nyeti kama elimu, afya na usalama ni ya kitoto kupindukia ukilinganisha na nchi kama Kenya? Walimu, manesi na madaktari wenu wamesota na wanaishi kama mashetani, ndani ya nchi yao. Mishahara ni ile ya peni mbili, mwaka nenda mwaka rudi, na hamna hata dalili yeyote ya nyongeza.
 
Pamoja na yote hayo tupo huru, tunamiliki ardhi yetu yote, wazungu tunawafukuza tupendavyo, hatuendi kwao kuwapigia magoti kama ninyi ili kuwaomba misaada, pamoja na hayo yote ya kujikomba na kuwalamba miguu, bado budget deficit yenu ni kubwa kuliko hata ya Burundi, mna Madeni makubwa kwasasa pesa ya mishahara mnakopa hamna uwezo wa kulipa mishahara bila kukopa
 
yaani mkenya anataka tuangalie picha ya mkenya imetumika kwa mzungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4].

huu utoto nilijua utafika huku siku moja.
 
Pamoja na yote hayo tupo huru, tunamiliki ardhi yetu yote, wazungu tunawafukuza tupendavyo, hatuendi kwao kuwapigia magoti kama ninyi ili kuwaomba misaada, pamoja na hayo yote ya kujikomba na kuwalamba miguu, bado budget deficit yenu ni kubwa kuliko hata ya Burundi, mna Madeni makubwa kwasasa pesa ya mishahara mnakopa hamna uwezo wa kulipa mishahara bila kukopa
Unajua tofauti kati ya misaada na mikopo? Endelea kujiliwaza na vitu vya kipuuzi, wakenya wanamiliki ardhi yao pia. Tangu lini uliona 'nchi ya asali na maziwa' ikipewa misaada ya kununua madawati na madaftari ya wanafunzi na wazungu? Mna uhuru upi huo kama wakulima wananyanganywa mazao yao na serikali na wapinzani na wanahabari wamebanwa. Endelea kujivunia elimu yenu ovyo ambayo hamna uwezo wa kuifadhili wala kuiboresha bila ya misaada ya mabwana zenu wazungu.
 
Hili nalo mada!!
Kama hilo nalo ni wizi
Wakenya wakuoewa tuzo kwa wizi mnao fanya kila kukicha
 
Kwasababu hawawaabudu wazungu kama wakenya , Mkenya hata kwa mkenya mwenzake kauli mbiu inakua Mzungu kwanza
Mbona Watanzania hawatajwi mahali popote likija kwenye siasa za Marekani? Pete Buttigieg anayefanya vizuri katika campaign ameamua kuiba picha ambayo inaonyesha mama wa Kikenya na mtoto wake ili kupiga campaign lakini tatizo ni hakuomba permission ya kutumia hiyo picha.

============

View attachment 1264483

Backlash over photo of Kenyan woman used for American campaign

There was outrage after an American firm used a photo of a Kenyan woman with a child to campaign for a 2020 presidential candidate.

Ryan Grim, who is the Bureau Chief for The Intercept, on Friday lashed out at the PR firm behind Peter Paul Montgomery Buttigieg.

”On top of everything else, the Buttigieg campaign used a stock photo from Kenya to promote its Frederick Douglass Plan for Black America,” he said on Twitter.

The bureau chief even tagged Nicholas Githiri, the photographer behind the picture that was used in Buttigieg’s manifesto.

A spot check by Citizen Digital on Saturday showed that the picture was yet to be pulled down.

Jodi Jacobson said on Twitter:” This is worse than lazy” while @Clarknt67 added: ”A trained visual arts professional reads the metadata in an image before posting. This is not rocket science.”

”Spin: Mayor Peye is the only candidate whose Black outreach went all the way to Africa. lol,” Tuxedo Mask quipped while James Baker joked: ”He’s talking in terms of the Diaspora…”

Peter Paul Montgomery Buttigieg is an American politician who has been the mayor of South Bend, Indiana, since 2012.

He is a candidate for the Democratic Party nomination in the 2020 United States presidential election.

Source: Citizen Digital
 
Wakati ingekua wamefanyiwa wa Tanzania tungekula nae sahani moja mpaka akaomba radhi lakini Kenya eti wanaona ufahari huku TZ mzungu akikupiga picha tu bila kukuomba tunadili nae kisheria mpaka analipa maana anajua sheria ukimfikisha sehem husika kesi kubwa lazima akulipe lakini mikenya ikifanyiwa hivyo utaona inasema oooh yes yes yes utumwa wa ubongo huu
Kibaya zaidi kaitumia kibabe hakuomba ruhusa kutoka kwa watumwa wao
 
Sio sababu ya kujifanya kijakazi maana wakenya kwa mzungu ni sawa na kijakazi
Umesahau kwamba wazungu ndio wamekuwa wakiwaelimisha watoto wenu na kufadhili sekta yenu ya afya miaka hiyo yote? Misaada ya wazungu ndio huwa inajaza pengo la bajeti yenu, kwa asilimia kubwa, tangia mpate uhuru! Unatuhadaa kwamba mnajenga kwa hela zenu wakati bajeti yenu ya sekta nyeti kama elimu, afya na usalama ni ya kitoto kupindukia ukilinganisha na nchi kama Kenya? Walimu, manesi na madaktari wenu wamesota na wanaishi kama mashetani, ndani ya nchi yao. Mishahara ni ile ya peni mbili, mwaka nenda mwaka rudi, na hamna hata dalili yeyote ya nyongeza.
 
1) Kwasababu Tanzania ni nchi huru wakati "Kenya not yet Uhuru"

2) Tanzania ni adui wa wazungu tangu enzi za vita vya ukombozi, wakati Kenya ni kibaraka wa wazungu

3) Mzungu ni MUNGU wa Wakenya, kwa Tanzania tunawafukuza kila kukicha, mfano mzuri ni ACACIA, wakati huko kwenu hadi leo wenye kumiliki mashamba ya chai ni Wazungu, Wakenya wanahangaika kurudishiwa mashamba yao.

Kenya not yet Uhuru
Hii Acacia mlioshindwa kuidai billions of US dollars wamekuwa wakiiba Nchi yenu?

Hii Acacia ambayo Serikali iko na 16% share mabeberu wakichukua 84%?

Hii Nchi yenu ile imeshindwa kuzipeleka Ndege zake South Africa kwa sababu ya beberu mmoja?
 
Back
Top Bottom