Anayewania urais Marekani ameiba picha ya Mkenya na kuitumia kwenye campaign

Lol
Ila wakenya bado sana yani dah Nimecheka sana

Kwahiyo kumbe kwenu ni fahari kubwa mzungu kujihusisha na ninyi kwa namna yoyote ile hata kwenye mambo ya kipumbavu kama hayo kwenu ni fahari ya taifa?

Mambo ya kitoto kabisa, Hollywood wamefeature currency yetu kwenye cover ya movie yao mpya na wala hakuna mtanzania mwenye time
2201701_IMG_20191102_215404.jpeg
 
Lol
Ila wakenya bado sana yani dah Nimecheka sana

Kwahiyo kumbe kwenu ni fahari kubwa mzungu kujihusisha na ninyi kwa namna yoyote ile hata kwenye mambo ya kipumbavu kama hayo kwenu ni fahari ya taifa?

Mambo ya kitoto kabisa, Hollywood wamefeature currency yetu kwenye cover ya movie yao mpya na wala hakuna mtanzania mwenye timeView attachment 1264604
Valueless currency!!!!!!!
Kama ya Uganda
 
1) Kwasababu Tanzania ni nchi huru wakati "Kenya not yet Uhuru"

2) Tanzania ni adui wa wazungu tangu enzi za vita vya ukombozi, wakati Kenya ni kibaraka wa wazungu

3) Mzungu ni MUNGU wa Wakenya, kwa Tanzania tunawafukuza kila kukicha, mfano mzuri ni ACACIA, wakati huko kwenu hadi leo wenye kumiliki mashamba ya chai ni Wazungu, Wakenya wanahangaika kurudishiwa mashamba yao.

Kenya not yet Uhuru
ha ha Kenyans have been fighting white people for independence more than Bongolalas..
 
Unajua tofauti kati ya misaada na mikopo? Endelea kujiliwaza na vitu vya kipuuzi, wakenya wanamiliki ardhi yao pia. Tangu lini uliona 'nchi ya asali na maziwa' ikipewa misaada ya kununua madawati na madaftari ya wanafunzi na wazungu? Mna uhuru upi huo kama wakulima wananyanganywa mazao yao na serikali na wapinzani na wanahabari wamebanwa. Endelea kujivunia elimu yenu ovyo ambayo hamna uwezo wa kuifadhili wala kuiboresha bila ya misaada ya mabwana zenu wazungu.
Nimekuambia sisi hatuwapigii magoti kuwaomba mikopo na misaada kama ninyi mnavyofanya, bado budget deficit yetu ni ndogo kuliko nchi zote hapa Afrika mashariki, wakati ninyi pamoja na kukopa sana lakini budget deficit ni kubwa kuliko nchi zote hapa Afrika Mashariki. Tanzania ndiyo nchi inayoongoza kwa kutekeleza miradi mingi kwa pesa za ndani. Lazima mkubali kwamba Tanzania ni nchi ya kuigwa hapa Afrika
 
1) Kwasababu Tanzania ni nchi huru wakati "Kenya not yet Uhuru"

2) Tanzania ni adui wa wazungu tangu enzi za vita vya ukombozi, wakati Kenya ni kibaraka wa wazungu

3) Mzungu ni MUNGU wa Wakenya, kwa Tanzania tunawafukuza kila kukicha, mfano mzuri ni ACACIA, wakati huko kwenu hadi leo wenye kumiliki mashamba ya chai ni Wazungu, Wakenya wanahangaika kurudishiwa mashamba yao.

Kenya not yet Uhuru
Na bado wazungu waliwasamehe madeni hku wakiwapa grants[emoji1787][emoji1787]
 
Pamoja na yote hayo tupo huru, tunamiliki ardhi yetu yote, wazungu tunawafukuza tupendavyo, hatuendi kwao kuwapigia magoti kama ninyi ili kuwaomba misaada, pamoja na hayo yote ya kujikomba na kuwalamba miguu, bado budget deficit yenu ni kubwa kuliko hata ya Burundi, mna Madeni makubwa kwasasa pesa ya mishahara mnakopa hamna uwezo wa kulipa mishahara bila kukopa
Bado hao wazungu wakawapa msaada wa condom[emoji1787][emoji1787]
 
Lol
Ila wakenya bado sana yani dah Nimecheka sana

Kwahiyo kumbe kwenu ni fahari kubwa mzungu kujihusisha na ninyi kwa namna yoyote ile hata kwenye mambo ya kipumbavu kama hayo kwenu ni fahari ya taifa?

Mambo ya kitoto kabisa, Hollywood wamefeature currency yetu kwenye cover ya movie yao mpya na wala hakuna mtanzania mwenye timeView attachment 1264604
Mzungu mmoja kawafanya msitishe safari za south africa...beberu mmoja tu[emoji1787][emoji1787]
 
Mbona manyang'ao wa Kenya wanakimbilia kuja TZ kuajiriwa kama mishahara yetu ni pen mbili??
Retired na failures ndio huja kufanya kazi ldc...yani uwache mshahara mzuri wa walimu kenya uende ukawe mwalimu tanzania[emoji1787][emoji1787]
 
Nimekuambia sisi hatuwapigii magoti kuwaomba mikopo na misaada kama ninyi mnavyofanya, bado budget deficit yetu ni ndogo kuliko nchi zote hapa Afrika mashariki, wakati ninyi pamoja na kukopa sana lakini budget deficit ni kubwa kuliko nchi zote hapa Afrika Mashariki. Tanzania ndiyo nchi inayoongoza kwa kutekeleza miradi mingi kwa pesa za ndani. Lazima mkubali kwamba Tanzania ni nchi ya kuigwa hapa Afrika
Na deni la taifa pia lilipanda sana wakati huu wa kutumia pesa za ndani
 
Na bado wazungu waliwasamehe madeni hku wakiwapa grants[emoji1787][emoji1787]
Hatuwaombi wao ndio wanajikomba kwetu, Uhuru Kenyatta muda wote anazunguka dunia kuwalamba miguu ili apate misaada ikiwemo ya vyakula lakini bado nchi inazama ktk dimbwi la Madeni na kuwa na budget deficit kubwa
 
Mbona manyang'ao wa Kenya wanakimbilia kuja TZ kuajiriwa kama mishahara yetu ni pen mbili??
Ukiona mkenya akiomba omba Tz, kama ndugu zenu ambao wametapakaa kwenye miji ya Kenya nitag tafadhali. Walimu wenu wanalipwa mishahara sawa na ya mahouse maid nchini Kenya alafu wewe upo hapa ukijipiga kifua? Eti kwa hela zetu za ndani. [emoji1]
 
ha ha Kenyans have been fighting white people for independence more than Bongolalas..
Achana nao hawa, Mau Mau walipokuwa kwenye vita vikali dhidi ya mkoloni viongozi wao walikuwa wakibargain nao kuhusu uhuru wao. Nyerere alitaka mkoloni aendelee kuwatawala kwa miaka mingine miwili eti ndio Kenya, Uganda na Tz tupate uhuru kwa pamoja kama Umoja wa Afrika Mashariki. 😀
 
Hatuwaombi wao ndio wanajikomba kwetu, Uhuru Kenyatta muda wote anazunguka dunia kuwalamba miguu ili apate misaada ikiwemo ya vyakula lakini bado nchi inazama ktk dimbwi la Madeni na kuwa na budget deficit kubwa
Hta condom pia hamkuwaomba
 
1) Kwasababu Tanzania ni nchi huru wakati "Kenya not yet Uhuru"

2) Tanzania ni adui wa wazungu tangu enzi za vita vya ukombozi, wakati Kenya ni kibaraka wa wazungu

3) Mzungu ni MUNGU wa Wakenya, kwa Tanzania tunawafukuza kila kukicha, mfano mzuri ni ACACIA, wakati huko kwenu hadi leo wenye kumiliki mashamba ya chai ni Wazungu, Wakenya wanahangaika kurudishiwa mashamba yao.

Kenya not yet Uhuru
Tanzania ni nchi huru chini ya CCM. Niliposoma hapo i was like "NIGGA?!!".
 
Wakati ingekua wamefanyiwa wa Tanzania tungekula nae sahani moja mpaka akaomba radhi lakini Kenya eti wanaona ufahari huku TZ mzungu akikupiga picha tu bila kukuomba tunadili nae kisheria mpaka analipa maana anajua sheria ukimfikisha sehem husika kesi kubwa lazima akulipe lakini mikenya ikifanyiwa hivyo utaona inasema oooh yes yes yes utumwa wa ubongo huu
Ulisahau walihawi sema Olduvai Gorge ipo Kenya na almanusura wadai hata daraja la Kigamboni ni lao,pia usishangae wakiwa kimya kwani hata Obama ni mkenya,hawa jamaaa bhana,Dedan Kimathi akifufuka atakutana na vituko vingi mno.
 
Back
Top Bottom