Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Miradi gani hayo mmefanya na pesa za ndani? Let's go, all these projects are either loans or donations and grants.Nimekuambia sisi hatuwapigii magoti kuwaomba mikopo na misaada kama ninyi mnavyofanya, bado budget deficit yetu ni ndogo kuliko nchi zote hapa Afrika mashariki, wakati ninyi pamoja na kukopa sana lakini budget deficit ni kubwa kuliko nchi zote hapa Afrika Mashariki. Tanzania ndiyo nchi inayoongoza kwa kutekeleza miradi mingi kwa pesa za ndani. Lazima mkubali kwamba Tanzania ni nchi ya kuigwa hapa Afrika
Condoms
JNIA terminal 3
Dar port expansion
Mwanza port expansion
Mwanza airport expansion
Dodoma stadium
Mfugale bridge
Kurasini interchange
SGR
BRT
Zanzibar airport
The Cable bridge
Kibaha road
Mtwara port expansion
Niendelee ama?