Anayewania urais Marekani ameiba picha ya Mkenya na kuitumia kwenye campaign

Lol
Ila wakenya bado sana yani dah Nimecheka sana

Kwahiyo kumbe kwenu ni fahari kubwa mzungu kujihusisha na ninyi kwa namna yoyote ile hata kwenye mambo ya kipumbavu kama hayo kwenu ni fahari ya taifa?

Mambo ya kitoto kabisa, Hollywood wamefeature currency yetu kwenye cover ya movie yao mpya na wala hakuna mtanzania mwenye time
 
Valueless currency!!!!!!!
Kama ya Uganda
 
ha ha Kenyans have been fighting white people for independence more than Bongolalas..
 
Nimekuambia sisi hatuwapigii magoti kuwaomba mikopo na misaada kama ninyi mnavyofanya, bado budget deficit yetu ni ndogo kuliko nchi zote hapa Afrika mashariki, wakati ninyi pamoja na kukopa sana lakini budget deficit ni kubwa kuliko nchi zote hapa Afrika Mashariki. Tanzania ndiyo nchi inayoongoza kwa kutekeleza miradi mingi kwa pesa za ndani. Lazima mkubali kwamba Tanzania ni nchi ya kuigwa hapa Afrika
 
Na bado wazungu waliwasamehe madeni hku wakiwapa grants[emoji1787][emoji1787]
 
Bado hao wazungu wakawapa msaada wa condom[emoji1787][emoji1787]
 
Mzungu mmoja kawafanya msitishe safari za south africa...beberu mmoja tu[emoji1787][emoji1787]
 
Mbona manyang'ao wa Kenya wanakimbilia kuja TZ kuajiriwa kama mishahara yetu ni pen mbili??
Retired na failures ndio huja kufanya kazi ldc...yani uwache mshahara mzuri wa walimu kenya uende ukawe mwalimu tanzania[emoji1787][emoji1787]
 
Na deni la taifa pia lilipanda sana wakati huu wa kutumia pesa za ndani
 
Na bado wazungu waliwasamehe madeni hku wakiwapa grants[emoji1787][emoji1787]
Hatuwaombi wao ndio wanajikomba kwetu, Uhuru Kenyatta muda wote anazunguka dunia kuwalamba miguu ili apate misaada ikiwemo ya vyakula lakini bado nchi inazama ktk dimbwi la Madeni na kuwa na budget deficit kubwa
 
Mbona manyang'ao wa Kenya wanakimbilia kuja TZ kuajiriwa kama mishahara yetu ni pen mbili??
Ukiona mkenya akiomba omba Tz, kama ndugu zenu ambao wametapakaa kwenye miji ya Kenya nitag tafadhali. Walimu wenu wanalipwa mishahara sawa na ya mahouse maid nchini Kenya alafu wewe upo hapa ukijipiga kifua? Eti kwa hela zetu za ndani. [emoji1]
 
ha ha Kenyans have been fighting white people for independence more than Bongolalas..
Achana nao hawa, Mau Mau walipokuwa kwenye vita vikali dhidi ya mkoloni viongozi wao walikuwa wakibargain nao kuhusu uhuru wao. Nyerere alitaka mkoloni aendelee kuwatawala kwa miaka mingine miwili eti ndio Kenya, Uganda na Tz tupate uhuru kwa pamoja kama Umoja wa Afrika Mashariki. 😀
 
Hatuwaombi wao ndio wanajikomba kwetu, Uhuru Kenyatta muda wote anazunguka dunia kuwalamba miguu ili apate misaada ikiwemo ya vyakula lakini bado nchi inazama ktk dimbwi la Madeni na kuwa na budget deficit kubwa
Hta condom pia hamkuwaomba
 
Tanzania ni nchi huru chini ya CCM. Niliposoma hapo i was like "NIGGA?!!".
 
Ulisahau walihawi sema Olduvai Gorge ipo Kenya na almanusura wadai hata daraja la Kigamboni ni lao,pia usishangae wakiwa kimya kwani hata Obama ni mkenya,hawa jamaaa bhana,Dedan Kimathi akifufuka atakutana na vituko vingi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…