Pa-Paa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 916
- 1,363
Eeh Mi5 tenaAnother konyagi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh Mi5 tenaAnother konyagi
Hoja yake kubwa ni moja tu. Afikishe miaka 68 akiwa mwenyekitiWakuu Salaam sana!
Nimejaribu kufuatilia hotuba ( mara tatu) ya mwenyekiti wa CHADEMA, ndg FAM wakati akitangaza nia yake ya kugombea tena katika nafasi ya uenyekiti CHADEMA TAIFA , lakini hakuelezea ni hoja zipi zimemsukuma agombee tena nafasi hiya zaidi ya kutoa historia alikokitoa chama , fedha alizotumia na jinsi chama kilivyomuumiza kwa kulekea kufilisiwa Mali zake na mambo kama hayo.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa hata wanaomuunga mkono hawaziweki hoja zake, kuzichanganua na kuziuza kwa wajumbe zaidi ya kusema TAL ni muhaini , mropokaji , hawezi tunza siri za chama na mambo kama hayo, huku wakijisahaulisha kuwa TAL kaweka hoja zake zilizomsukuma kugombea nafasi hiyo ikiwemo kukomesha rushwa ndani ya chama, ukomo wa madara ya uwenyekiti na viti maalumu ili kutoa fursa kwa mawazo mapya, ruzuku kuwafikia wajumbe ngazi ya shina.nk
Je, kilichomsukuma m/kiti aliyekaa madarakani zaidi ya miongo miwili kugombea tena kipindi kijacho nini?
Wadau, kuna anayejua hoja/vipaumbele alizo/alivyo ainisha m/kiti FAM tuzitafakali ili wajumbe wajue upande wao wa kupiga kura na sio uchawa?
Another one. Dj khalidEeh Mi5 tena