Anayezijua hoja za Mbowe zilizompelekea kugombea tena nafasi ya uwenyekiti wa chama aziweke hapa tuzijue

Hiki chama cha baba mkwe, lazima kungangania kwake kuna Baraka za baba mkwe wake.
 
Hoja yake kubwa ni moja tu. Afikishe miaka 68 akiwa mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…